Nadhani ni Jambo jema unapata na muda wa kujipanga kidogo haswa Kama post ni mkoa wa mbal Sana...sio wale wa ripot JUMATATU alaf awatak kujua ata utaish vipiduh kumbe ukishapata kazi kuna kusubiria simu ya mwajiri tena.tutafika nchi ya ahadi na vumbi la kope..
aisee niiiangalia nauli yangu nikasema hapana ni bora nile mishkaki tu.kwa sasa mie nasubiria oral moja tu received zote nimeshapelekewa moto...Kumbe tuko wengine😆😆..tuskilizie Vimeo vya oral na received zilizobak😆
yah ni sawa ila isichukue muda mrefu sana..Nadhani ni Jambo jema unapata na muda wa kujipanga kidogo haswa Kama post ni mkoa wa mbal Sana...sio wale wa ripot JUMATATU alaf awatak kujua ata utaish vipi
Ndo sie tulienda kujarib ingawa leo paper imekaza kimtindo kuliko ile ya quality assurancemie sijaenda niliona kila dalili ya kukwaa kisiki.niliamka nikaoga kabisa ila nikasita.. 🤣 🤣
tokea muda gani kwani jaribu hata kuulizia usikute wanataka kuchezea mfumo..Bado mkuu. Nasubiri simu ya mwajiri hadi leo.
Ameen kaka ngoja tuendelee kusubiriNakubali ndugu yangu wewe unaramba kabla mwez huu kuisha MDAs wanamwaga uko
bora likikaza kidogo likiwa jepesi sana ndo unakuta 98 mpo watu 300Ndo sie tulienda kujarib ingawa leo paper imekaza kimtindo kuliko ile ya quality assurance
Hongera Sana Mkuu kautumikie vema umma👏👏Leo nataka nitoe ushuhuda wangu kwa Mungu alie hai maana jana nimefurahi mpka sasa nasema Mungu ni mwema sana baada ya kuona nimekuwa shortlisted kwenda written interview nilimuomba sana Mungu anisaidie siku najiandaa nilifanya written nikawa selected for oral interview Tarehe 9 May jana nimelamba asali kitu mhimu nilicho gundua Mungu ukimuomba ni mwaminifu sana maana kama mimi nimepata naamini hata wewe utapata nilitoa sadaka yangu ya sabuni mafuta na dawa ya mswaki kwa yatima na wafungwa gerezani ambao hawana ndgu kabisa wale wafungwa maombi walio niombea sijawahi ombewa popote yalikuwa ni maombi ya machozi baada ya hapo nilianza kuota ndoto nikiwa kazini leo nimeramba asali jina la Bwana litukuzwe
Usiwe na huo uoga. Mimi niliwahi fanya usaili mara 3 na zote 3 nikaenda oral.aisee niiiangalia nauli yangu nikasema hapana ni bora nile mishkaki tu.kwa sasa mie nasubiria oral moja tu received zote nimeshapelekewa moto...
mhhhUsiwe na huo uoga. Mimi niliwahi fanya usaili mara 3 na zote 3 nikaenda oral.
Ya kwanza ilikuwa na applicants 17k
Ya pili 15k
Ya 3 applicants 20k. Niliamini Mungu wangu hataniacha. Na kweli hakuniacha.
Usigune miujiza ipomhhh
ni kweli lakini ngoja tukomae na kumwomba mungu tu,,Usigune miujiza ipo
Ila vi notifications vinawaka waka kama taa za Christmas.PDf zimezima kama mshumaa
Leo hakuna dalili ya PDF kabisa.PDf zimezima kama mshumaa
Mimi nilipata simu ya kuhutajika kibaruani chap nikaona nisikwaze kilichopo .mie sijaenda niliona kila dalili ya kukwaa kisiki.niliamka nikaoga kabisa ila nikasita.. 🤣 🤣
Nani kaenda sasa😂😂napambana na ya osha bananimewaona aisee hadi raha yan halafu hata hawajakaa muda mrefu sana.vipi pepa la leo..??
Hii address ndio wameweka chini ya zile pdf za kutangaza ajira mkuu?? If so upo sahihiHii barua inahitaji marekebisho Gani Kwa Wenye uzoefu, na hapo sehemu iloachwa wazi maana yake naprint then nasign halaf naiscan naipakia au inakuaje hapo Kwa wazoefu jaman.
🤣 🤣 🤣 kumbe na wewe uliohofia kupoteza nauli. Mie niliiona NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW hii apa kabisa nikarudi zangu kulala..Nani kaenda sasa😂😂napambana na ya osha bana