Msela Lowkey
Senior Member
- Jul 3, 2021
- 144
- 199
Hapo kweny ndugu/mh haina ulazima sana kuwepo.Hii barua inahitaji marekebisho Gani Kwa Wenye uzoefu, na hapo sehemu iloachwa wazi maana yake naprint then nasign halaf naiscan naipakia au inakuaje hapo Kwa wazoefu jaman.
hawa wajinga ukiwaendekeza wanakufilisi 🤣 🤣 🤣 🤣Nani kaenda sasa😂😂napambana na ya osha bana
Hiyo ni sample yabarua nmekuta mtandaon Sasa nataka niwe nayo kama blueprint niwe nabadilisha address tu inapotakiwa na hapo kwenye saini kwahyo naandika mfano (A.H.Zaburi) na je sehemu ya saini ni hapo au ni chini kabsa baada ya kuandika full nameHii address ndio wameweka chini ya zile pdf za kutangaza ajira mkuu?? If so upo sahihi
Mimi najuaga ni
KATIBU,
OFISI YA RAIS,
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA,
S.L.P. 2320,
DODOMA.
Hiyo ni sample yabarua nmekuta mtandaon Sasa nataka niwe nayo kama blueprint niwe nabadilisha address tu inapotakiwa na hapo kwenye saini kwahyo naandika mfano (A.H.Zaburi) na je sehemu ya saini ni hapo au ni chini kabsa baada ya kuandika full nameHapo kweny ndugu/mh haina ulazima sana kuwepo.
Pia kweny iyo address kuna vingin sio vya muhimu sna kuweka ikiwa ivi inatosha
KATIBU,
OFISI YA RAIS,
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA,
S.L.P. 2320, DODOMA.
Pia kweny signature yako unaweza ukasain ikiwa hivyohivyo softcopy bila kuiprint the rest iko pow mkuu
Bwana ni mwema, hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwemaLeo nataka nitoe ushuhuda wangu kwa Mungu alie hai maana jana nimefurahi mpka sasa nasema Mungu ni mwema sana baada ya kuona nimekuwa shortlisted kwenda written interview nilimuomba sana Mungu anisaidie siku najiandaa nilifanya written nikawa selected for oral interview Tarehe 9 May jana nimelamba asali kitu mhimu nilicho gundua Mungu ukimuomba ni mwaminifu sana maana kama mimi nimepata naamini hata wewe utapata nilitoa sadaka yangu ya sabuni mafuta na dawa ya mswaki kwa yatima na wafungwa gerezani ambao hawana ndgu kabisa wale wafungwa maombi walio niombea sijawahi ombewa popote yalikuwa ni maombi ya machozi baada ya hapo nilianza kuota ndoto nikiwa kazini leo nimeramba asali jina la Bwana litukuzwe
AminaBwana ni mwema, hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwema
Ununue Subaru sema Amina ........Amina
AminaUnunue Subaru sema Amina ........
Sipo peke yangu mkuu. Tupo kama sita hivi, na tumeshatengeneza hadi group. Na HR tumemu-add 😀😀tokea muda gani kwani jaribu hata kuulizia usikute wanataka kuchezea mfumo..
Hiyo ya pili ndio sahihi.Mfano upande WA saini ipi ni sahihi hapo
Wako mtiifu
Asugile Frank Mwangomile
A.F.Mwangomile
Or
Wako mtiifu
A.F.Mwangomile
Asugile Frank Mwangomile
Hapo HR hachomoki kaka😀😀Sipo peke yangu mkuu. Tupo kama sita hivi, na tumeshatengeneza hadi group. Na HR tumemu-add 😀😀
Hiyo ni sample yabarua nmekuta mtandaon Sasa nataka niwe nayo kama blueprint niwe nabadilisha address tu inapotakiwa na hapo kwenye saini kwahyo naandika mfano (A.H.Zaburi) na je sehemu ya saini ni hapo au ni chini kabsa baada ya kuandika full name
Hiyo ya chini maana hiyo kifupi itabidi usaini mwenyewe kwa peniMfano upande WA saini ipi ni sahihi hapo
Wako mtiifu
Asugile Frank Mwangomile
A.F.Mwangomile
Or
Wako mtiifu
A.F.Mwangomile
Asugile Frank Mwangomile
Pole mkuu na hongera sana....Mungu atatenda....ukiangalia positives ni nyingi mno hapo....keep your head up mkuu ...tutajaribu tena na tenaPale ambapo panga la admission officer linaanzia kwangu😂😂
Ahsante boss tutafika tuPole mkuu na hongera sana....Mungu atatenda....ukiangalia positives ni nyingi mno hapo....keep your head up mkuu ...tutajaribu tena na tena
Amen mkuu....beba positive hizo ...oral tutaingia tu soonAhsante boss tutafika tu