anuani ya cv ?? kwan unajiomba kazi wewe ?? Kwenye upande wa receiver address soma tangazo linataka barua iwe directed wapi kam utumishi au organization husika mkuu🫡ivi kwenye barua ya maombi anunani tunaweka ya utumishi au ya VC?
VC anamaanisha Vice Chancellor sio CVanuani ya cv ?? kwan unajiomba kazi wewe ?? Kwenye upande wa receiver address soma tangazo linataka barua iwe directed wapi kam utumishi au organization husika mkuu🫡
🤣🤣🤣🤣🤣ila wewe banaautumishi oral ya kesho mtanikoma picha linanza kwanza nakuja na ndege (nimechoka kimbinyiko). sasa hata mfanyaje siwezi kufeli nikaiaibisaha ndege...
All the Best Brother!utumishi oral ya kesho mtanikoma picha linanza kwanza nakuja na ndege (nimechoka kimbinyiko). sasa hata mfanyaje siwezi kufeli nikaiaibisaha ndege...
Hahaha namm nnayo kesho....all the best to us mkuuutumishi oral ya kesho mtanikoma picha linanza kwanza nakuja na ndege (nimechoka kimbinyiko). sasa hata mfanyaje siwezi kufeli nikaiaibisaha ndege...
Nashukuru sana kaka..All the Best Brother!
Mungu akakufanikishe
Ameen.!! kesho tukitoka kwenye interview ni moja kwa moja kwa fundi cherehani kushona suti.. 🤣 🤣Hahaha namm nnayo kesho....all the best to us mkuu
Hahaha kabisa mkuu.... Tuanze tafuta vyumba hapa mjini kabisaAmeen.!! kesho tukitoka kwenye interview ni moja kwa moja kwa fundi cherehani kushona suti.. 🤣 🤣
AmiinWakuu tunalala Leo bila ushuhuda?
Mungu atatumbelee kesho ... Kesho majira kama haya humu ndani shuhuda ziwe katika jina la Yesu
Kuna kitu kina itwa neema ya MunguNaombeni kuuliza wakuu,hivi wote wanaopata placement wanakua walijibu maswali yote kwa usahihi?
Roho inaniuma sana kuona nakosa kazi ikiwa tu nilishindwa kujibu swali na sio kwamba sikua nalifahamu ,ni basi tu kuchanganyikiwa kwenye chumba Cha mtihaniKuna kitu kina itwa neema ya Mungu
Amin utapata mi nilichemka mpka nikaambiwa mbona huelewi maswali Ila neema ya Mungu imenitembeleaRoho inaniuma sana kuona nakosa kazi ikiwa tu nilishindwa kujibu swali na sio kwamba sikua nalifahamu ,ni basi tu kuchanganyikiwa kwenye chumba Cha mtihani
Pole mkuu ila kama alivyosema hapo mdau ni kusubiri tu neema ya Mungu. Kikubwa ni kuzidisha maombi katika kipindi hikiRoho inaniuma sana kuona nakosa kazi ikiwa tu nilishindwa kujibu swali na sio kwamba sikua nalifahamu ,ni basi tu kuchanganyikiwa kwenye chumba Cha mtihani
Zaburi 44:3Roho inaniuma sana kuona nakosa kazi ikiwa tu nilishindwa kujibu swali na sio kwamba sikua nalifahamu ,ni basi tu kuchanganyikiwa kwenye chumba Cha mtihani
Si kwamba walipata yote kwa usahihi. Kinachofanyika ni wanatafuta asilimia ya kile ulichokijibu; mfano, kulikuwa na maswali matano yalikupasa ujibu ndani ya dakika 5, kila swali ni alama 10, kama ulijibu kila swali kwa wastani wa alama 6; utakuwa na jumla ya alama 30 kati ya 50.Naombeni kuuliza wakuu,hivi wote wanaopata placement wanakua walijibu maswali yote kwa usahihi?
Shukuran sana mkuu angalau naanza kupata mwanga sasaSi kwamba walipata yote kwa usahihi. Kinachofanyika ni wanatafuta asilimia ya kile ulichokijibu; mfano, kulikuwa na maswali matano yalikupasa ujibu ndani ya dakika 5, kila swali ni alama 10, kama ulijibu kila swali kwa wastani wa alama 6; utakuwa na jumla ya alama 30 kati ya 50.
Halafu kuna dakika nyingine 5 ulizopaswa kufanya uwasilishaji wa kile ulichoambiwa ukiandae; alama zake zikawa ni 50, lakini kwa namna ulivyowasilisha ukapewa alama 20; ukijumlisha na zile 30, basi utakuwa na jumla ya alama 50, ambazo kwa mujibu wa PSRS unakuwa umefuzu kuingia kwenye database.
Nikirudi kwenye swali lako la kwanini watu wanaajiriwa na wengine hawaajiriwi?; ipo hivi; aliyepata alama nyingi ndiye anayeanza kuajiriwa halafu wanafuata wengine waliopata angalau alama 50 kwenye usaili wa mahojiano. Kwa hiyo vuta subira, nafasi yako ipo. Kwenye usaili wa mahojiano wanaangalia vitu vingi ikiwemo haiba, umahiri na ustadi wa kuwasiliana. Hata mavazi tu yanaweza yakakubeba.
Amina mkuuZaburi 44:3
Utapata hii kazi, halafu siku ukiitwa niulize kwanini ulipata