HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Nakumbuka jamaa wa PSRS, aliwahi kutuambia kuwa haya mambo ya Placement wakati mwingine ni bahati tu, sio kwamba mhusika ana akili nyingi au vipi.
Mara nyingi bahati huwa na nafasi kubwa pale wasailiwa mnapokuwa wengi halafu nafasi ni chache. Lakini mkiwa 3 au 4 na nafasi ni moja au mbili aloo!!, lazima upambane.
 
Ni hatari asee Oral yangu ya kwanza ambayo nilikuwa na hofu nayo ilikua ya School of law, nmekuja hii ya utumishi Last week nikaingia sina hofu kabisa yaani sina pressure nilicho kutana nacho asee.
Tuambie ulichokutana nacho kiongozi😁
 
Navipi mkilingana Mark's na mko wengi mlio lingana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…