Yah hapo database wapo wa kutosha.Ila kwa maswali hayo naamini wote 45 waliofila oral watafika alama ata za kukaa database
Sina hakika kama mtu alikuwa serius atakosa ata 50% ya kumfikisha databse
Sasa Mkuu unacheka nini? Nimepata taarifa juzi umepokea mgeni kutoka Mwanza.Yah hapo database wapo wa kutosha.
Ingekuwa n written hapo ndo ile unakuta wanachukua mtu kuanzia 99% 😂
2Wahusika washindwe wenyw tuu hapo.
Nafasi zilikuwa ngap
ndugu yangu tulitoka droo niliwararua ila na wao hawakuniacha salama..Oral ilikuaje mwamba?
Ulituhaidi kuwararua vibaya sana utumishi hii
Dah 😂 sio kweli bhana ilikuwa changamsha genge tuuSasa Mkuu unacheka nini? Nimepata taarifa juzi umepokea mgeni kutoka Mwanza.
Anasema ulimfata na gari Magufuli, ulikuwa wengi kwenye gari akakuuliza na Hawa pia ni Wana JF 😂.
Joking Brother upo Mkuu, ongea na IT atingishe mbuyu 😂
Nilikwambia kak hongera SANA lilikuwa swala la muda tuKwanza kabisa napenda kumshukuru na kumtukuza Mungu Baba aliye Mkuu na mwaminifu kwa ahadi zake kwetu. Niliujua huu Uzi 2023 kipindi ambacho nilikuwa siamini katika kupata kazi serikalini nikaamini kila kitu ni connection lakini kupitia shuhuda za wadau mbalimbali kwenye huu Uzi zikanimotivate nikajikuta na Mimi nimefungua ajirapotal mwaka 2024 mwezi wa 7 zilitoka nafasi Kigamboni MC na Kinondoni MC nika apply zote mwezi wa 8 zikatoka zengine za MDA's & LGA's nikaapply. mwezi wa 10 shortlisted ya Kigamboni na Kinondoni ikatema tareh 05/10 nikafanya saili yangu ya kwanza Kigamboni MC zilikuwa zinahitajika nafasi 10 nikafika mpaka oral matokeo yametoka wakachukuliwa watu wa 4 tu badala ya 10 sijui nafasi 6 zilipelekwa wapi hii kitu iliniumiza Sana na kunikatisha tamaa nikajipanga Tena kwa weekend inayofuata nilikuwa na saili nyengin Kinondoni MC nikapiga written jion matokeo yanakuja nikala ndoige NOT SELECTED FOR ORAL nikazidi kuvunjika moyo lakin Kuna mshikaji wangu wa karibu akanipa moyo tusikate tamaa mwezi 4 tukaitwa saili watu 5000+ MDA's & LGA's nikapiga written Nikatoboa tukaitwa oral watu 1400 Dodoma secondary nikafunga safari mpaka Dom nikafikia Lodge nikaamka saa 8 usiku nikasali Sana nikasema "Mungu kama ambavyo nashuhudia wengine kama ambavyo napongeza wengine onesha ukuu wako kwangu nami nipate cha kushuhudia nami nikapate kupongezwa huu uwe usahili wangu wa mwisho sitaki database naomba nipate direct placement" asubuh yake nikaamkia kupiga Oral
Hatimae Jana tarehe 17/06 Mungu ameniona na amenijibu mtumishi wake na kwa mapenzi yake nimelamba asali ya nyuki......
Ndugu zangu tusikate tamaa, tuendelee kuwa na Imani huu mwaka kila mtu atalambishwa asali🙏🙏🙏
Asanteh Sana Mkuu🙏Hongera sana
Shukrani mkuu nawaombea nanyi mpate muingie utumishini 🙏Hongera mkuu ukawe Mtumishi Mtumishi mwema, kila la kheri usisahau kutuombea tu.
Hakika kaka shukrani sana Mzee kwa kutupa Moyo 🙏🙏Nilikwambia kak hongera SANA lilikuwa swala la muda tu
Congratulations 🎉 RMA🫡🫡Kwanza kabisa napenda kumshukuru na kumtukuza Mungu Baba aliye Mkuu na mwaminifu kwa ahadi zake kwetu. Niliujua huu Uzi 2023 kipindi ambacho nilikuwa siamini katika kupata kazi serikalini nikaamini kila kitu ni connection lakini kupitia shuhuda za wadau mbalimbali kwenye huu Uzi zikanimotivate nikajikuta na Mimi nimefungua ajirapotal mwaka 2024 mwezi wa 7 zilitoka nafasi Kigamboni MC na Kinondoni MC nika apply zote mwezi wa 8 zikatoka zengine za MDA's & LGA's nikaapply. mwezi wa 10 shortlisted ya Kigamboni na Kinondoni ikatema tareh 05/10 nikafanya saili yangu ya kwanza Kigamboni MC zilikuwa zinahitajika nafasi 10 nikafika mpaka oral matokeo yametoka wakachukuliwa watu wa 4 tu badala ya 10 sijui nafasi 6 zilipelekwa wapi hii kitu iliniumiza Sana na kunikatisha tamaa nikajipanga Tena kwa weekend inayofuata nilikuwa na saili nyengin Kinondoni MC nikapiga written jion matokeo yanakuja nikala ndoige NOT SELECTED FOR ORAL nikazidi kuvunjika moyo lakin Kuna mshikaji wangu wa karibu akanipa moyo tusikate tamaa mwezi 4 tukaitwa saili watu 5000+ MDA's & LGA's nikapiga written Nikatoboa tukaitwa oral watu 1400 Dodoma secondary nikafunga safari mpaka Dom nikafikia Lodge nikaamka saa 8 usiku nikasali Sana nikasema "Mungu kama ambavyo nashuhudia wengine kama ambavyo napongeza wengine onesha ukuu wako kwangu nami nipate cha kushuhudia nami nikapate kupongezwa huu uwe usahili wangu wa mwisho sitaki database naomba nipate direct placement" asubuh yake nikaamkia kupiga Oral
Hatimae Jana tarehe 17/06 Mungu ameniona na amenijibu mtumishi wake na kwa mapenzi yake nimelamba asali ya nyuki......
Ndugu zangu tusikate tamaa, tuendelee kuwa na Imani huu mwaka kila mtu atalambishwa asali🙏🙏🙏
Ni kweli mkuu yanajibika ni vile kujiandaa na pressure ya kuwa mbele panel unakuta point 3 ndo zpo karbu 2 unajitungia.CookingIla for serious Haya maswali yanajibika labla tuu uwe hujayachukulia serious
Mkuu namimi sikujiandaa na swali la 1 na 2 nilitumia general knowledge (katika point 5 nafikiri 3 zipo sahihi each)Mimi si wa kada hii ila ningepata vipoint kadhaa kwa maswali haya kwa kutumia general knowledge tu ha ha ha hongera mkuu utakuwa ulifanya vyema
Aiseh hivi ukivuka 50 uhakika 2Yah mkuu, mwnyw sio mtu wa kozi hiyo ila hayo maswali nitaambulia hata 50% 😂 labla hilo swali la pili ndo sijui kitu
Cut marks za kwenda mkuu...shukrani. ushindani sahizi ni bora kupata au kuwa database unavyoendelea kupigania zingineHongera mkuu
Kumbe ulifika oral hii admission
50% ndo marks ya mwisho kuchukua watu hatua inayofuataAiseh hivi ukivuka 50 uhakika 2
Nafasi 2 oral 35 hivi.Yalikua fair sana kiukweli
Tunasubiri mkuu....hapo maswali 2 ya chini safi sana, la kwanza safi,... Lan2 na 3 ni point 3 ndo nafahamu 2 nilitunga. Sikutala kusema sijui50% ndo marks ya mwisho kuchukua watu hatua inayofuata
Hawakuja kibao tu kama 10 hiviIla kwa maswali hayo naamini wote 45 waliofila oral watafika alama ata za kukaa database
Sina hakika kama mtu alikuwa serius atakosa ata 50% ya kumfikisha databse
Naimani nawewe mkuu....najua ulikula 3-2 ushindi kwa dakika za jioni.ndugu yangu tulitoka droo niliwararua ila na wao hawakuniacha salama..