Beberu Mwitu
JF-Expert Member
- Mar 31, 2019
- 495
- 708
Mkuu mkuu!Maandaliz ya pdf sasa mida hii✊
NaamMkuu mkuu!
Safi, kuomba Mungu tuuTunasubiri mkuu....hapo maswali 2 ya chini safi sana, la kwanza safi,... Lan2 na 3 ni point 3 ndo nafahamu 2 nilitunga. Sikutala kusema sijui
Shukrani maombi yaendeleeSafi, kuomba Mungu tuu
Unatupa presha tunaosikilizia placement!Naam
😀😀 leo mapema sanaMaandaliz ya pdf sasa mida hii✊
Kunywa maji mengi, fungua moyoUnatupa presha tunaosikilizia placement!
Kuna kajoto flani hiviUnatupa presha tunaosikilizia placement!
Sawa mkuu acha nifanye hivyo maana sio poaKunywa maji mengi, fungua moyo
Acha tu mkuu. Mungu mwenyezi atujalie nasi turudi hapa kumshukuruKuna kajoto flani hivi
Palepale unapopata taarifa umekuwa shortlisted, selected for oral, placed as chini utaona print letterHivi hizo barua kwenye my application wanai attach Kwa wapi?
KumbePalepale unapopata taarifa umekuwa shortlisted, selected for oral, placed as chini utaona print letter
Utaribi wa leo ni mgumu sanaLeo mkeka vipi mbona kumepoa
Mkeka soon tu unakujaUtaribi wa leo ni mgumu sana
Kuna 70% za kukaa kimya alaf 30% za pdf kutoka.
Sawa IT wetu👊Mkeka soon tu unakuja
DuuhUtaribi wa leo ni mgumu sana
Kuna 70% za kukaa kimya alaf 30% za pdf kutoka.
Nakubal sana Mungu atutangulie Tulambe asaliMkeka soon tu unakuja