HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Vizur sana hongera mkuu ulipambana sana yule dem wako lazima atakutafuta akisikia taarifa hii
 
Mimi nilijua strees zipo tu pale ambapo mtu anasubiria shortlist na matokeo ya written kumbe kuna stress ya kusubiria mkeka wa placement.

Mungu atutangulie tulambe asali mwaka huu.
Mkuu kilo mbili zilipungua sababu ya kusubiri placement dah!! πŸ˜…πŸ˜…
 
Vizur sana hongera mkuu ulipambana sana yule dem wako lazima atakutafuta akisikia taarifa hii
Ulijuaje mkuu daah aliniacha kisa muhuni Niko broken mtaan kipato kinatoshea kula tuuπŸ˜…πŸ˜…
 
Mimi nilijua strees zipo tu pale ambapo mtu anasubiria shortlist na matokeo ya written kumbe kuna stress ya kusubiria mkeka wa placement.

Mungu atutangulie tulambe asali mwaka huu.
🀣🀣🀣🀣tena kusubilia mkeka ndo mistress ya kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…