[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwezi wa pili mzee
Nadhani lazima huwa wanakua na makubaliano kati ya psrs na taasisi na ndio maana psrs huwa wanasimamiwa hata kama hawahusika π―..na kama yapo kwa vyovyote wale waliwapa go ahead kwa sababu flaniflani na kwakujua pia kwamba wahusika wote wamepatikana na wamereport kazini uzende wa kuapload matokeo ukafanyika..Mimi nahisi tatizo limeanzia MUCE.
Hivi kwa nini waliamua kuwapigia simu? hapa inaonesha walifanya hivi kabla hawajapeleka pdf PSRS. Na walipomaliza kuwapigia wakarelax tena bila kupeleka hiyo pdf Utumishi.
MUHAS wao walipomaliza sorting, wakaipeleka PDF fast PSRS na ikatangazwa kwa umma, hawa hawakujisumbua kupigia watu simu.
Sasa nahitimisha kuwa, MUCE ndio waliozingua maana wangepeleka PDF utumishi ingetangazwa moja kwa moja.
Kwa hili lawana zangu nazielekeza MUCE
Vyuo vikuu vya umma hujipa u-special uliopitiliza hasa Chuo kikuu Dsm na washirika wake. Case kama hiyo ilitokea DUCE, kuna mdau alilalamika sana namna usaili wa written ulivoendeshwa na namna matokeo yalivotolewa kwa wahusika, ilikua mambo ya simu hayo hayo.Mimi nahisi tatizo limeanzia MUCE.
Hivi kwa nini waliamua kuwapigia simu? hapa inaonesha walifanya hivi kabla hawajapeleka pdf PSRS. Na walipomaliza kuwapigia wakarelax tena bila kupeleka hiyo pdf Utumishi.
MUHAS wao walipomaliza sorting, wakaipeleka PDF fast PSRS na ikatangazwa kwa umma, hawa hawakujisumbua kupigia watu simu.
Sasa nahitimisha kuwa, MUCE ndio waliozingua maana wangepeleka PDF utumishi ingetangazwa moja kwa moja.
Kwa hili lawana zangu nazielekeza MUCE
Sawa lakini tujiulize nani aliwapa barua za kuripot kazini hapo watumishi wapya je ni PSRS au MUCE alitoa moja kwa moja? Kama ni psrs basi taarifa wanayo nadhan waliofaulu walipopigiwa simu wakiambiwa wamefauku usaili hivyo wakachukue barua psrs ili waripot kwa mwajiri (muce)Mimi nahisi tatizo limeanzia MUCE.
Hivi kwa nini waliamua kuwapigia simu? hapa inaonesha walifanya hivi kabla hawajapeleka pdf PSRS. Na walipomaliza kuwapigia wakarelax tena bila kupeleka hiyo pdf Utumishi.
MUHAS wao walipomaliza sorting, wakaipeleka PDF fast PSRS na ikatangazwa kwa umma, hawa hawakujisumbua kupigia watu simu.
Sasa nahitimisha kuwa, MUCE ndio waliozingua maana wangepeleka PDF utumishi ingetangazwa moja kwa moja.
Kwa hili lawana zangu nazielekeza MUCE
Basi muce na duce kuna shida pale maana hata duce walipigiwa simuMimi nahisi tatizo limeanzia MUCE.
Hivi kwa nini waliamua kuwapigia simu? hapa inaonesha walifanya hivi kabla hawajapeleka pdf PSRS. Na walipomaliza kuwapigia wakarelax tena bila kupeleka hiyo pdf Utumishi.
MUHAS wao walipomaliza sorting, wakaipeleka PDF fast PSRS na ikatangazwa kwa umma, hawa hawakujisumbua kupigia watu simu.
Sasa nahitimisha kuwa, MUCE ndio waliozingua maana wangepeleka PDF utumishi ingetangazwa moja kwa moja.
Kwa hili lawana zangu nazielekeza MUCE
Vyuo vikuu vya umma hujipa u-special uliopitiliza hasa Chuo kikuu Dsm na washirika wake. Case kama hiyo ilitokea DUCE, kuna mdau alilalamika sana namna usaili wa written ulivoendeshwa na namna matokeo yalivotolewa kwa wahusika, ilikua mambo ya simu hayo hayo.
Hili la MUCE wote wa kulaumiwa, mara mia wangepost katika official website ya chuo, wahusika wakutane na matokeo huko. Hili la kupigiana sim huibua hisia za kukosekana kwa usawa katika ushindani na uwazi.
Au wako kwenye mgomo (kama marubani wa Kenya) ?Nafikiri utumishi Kuna changamoto kubwa tusiyoijua
Kweli mkuu, bora wangepost kwenye website then, PSRS waje wapost pia baadae kwa kuchelewa pasingekuwa na maswali mengi namna hii.Vyuo vikuu vya umma hujipa u-special uliopitiliza hasa Chuo kikuu Dsm na washirika wake. Case kama hiyo ilitokea DUCE, kuna mdau alilalamika sana namna usaili wa written ulivoendeshwa na namna matokeo yalivotolewa kwa wahusika, ilikua mambo ya simu hayo hayo.
Hili la MUCE wote wa kulaumiwa, mara mia wangepost katika official website ya chuo, wahusika wakutane na matokeo huko. Hili la kupigiana sim huibua hisia za kukosekana kwa usawa katika ushindani na uwazi.
Nilijua nishakosa coz Kuna mtu namjua alisharipot kazini muda tu. Sasa Sijui Kwanini hata wametoa hii pdfAhmet njoo utupe feedback umepata au vipi
NDOIGEEAlishasema hajapata mkuu
ππππAsa kama wamegoma waseme tuapload pdf wenyewe hahhhAu wako kwenye mgomo (kama marubani wa Kenya) ?
Umethibitisha mkando au sio?ππππtatizo haikuwa shortlistedNDOIGEE
π€£π€£π€£π€£ππππAsa kama wamegoma waseme tuapload pdf wenyewe hahhh
Ndo ivo haikuwa na maana kuweka hii pdf wamezinguaNilijua nishakosa coz Kuna mtu namjua alisharipot kazini muda tu. Sasa Sijui Kwanini hata wametoa hii pdf
Vyuo Vikuu vinaanzishwa kwa sheria, sheria husika ndo imevipa nguvu/hadhi ya kuwa mamlaka za ajira za watumishi wake, yaani wamepewa mamlaka ya kuendesha michakato ya ajira ya watumishi wake.Vyuo vikuu vya umma hujipa u-special uliopitiliza hasa Chuo kikuu Dsm na washirika wake. Case kama hiyo ilitokea DUCE, kuna mdau alilalamika sana namna usaili wa written ulivoendeshwa na namna matokeo yalivotolewa kwa wahusika, ilikua mambo ya simu hayo hayo.
Hili la MUCE wote wa kulaumiwa, mara mia wangepost katika official website ya chuo, wahusika wakutane na matokeo huko. Hili la kupigiana sim huibua hisia za kukosekana kwa usawa katika ushindani na uwazi.
ππππWaseme tu hiyo kazi niachie mimi hapa wote nitahakikisha mpo kwenye pdf hata kwahizi anonymous utakuta Mwifwa Prok Ahmet sema ery mendez huyu nitakata jina kwanza status yake ipo not selectedπ€£π€£π€£π€£
Hizi taasisi za Vyuo vikuu nimeona barua wanazichukua moja kwa moja kwa mwajiri.Sawa lakini tujiulize nani aliwapa barua za kuripot kazini hapo watumishi wapya je ni PSRS au MUCE alitoa moja kwa moja? Kama ni psrs basi taarifa wanayo nadhan waliofaulu walipopigiwa simu wakiambiwa wamefauku usaili hivyo wakachukue barua psrs ili waripot kwa mwajiri (muce)
Ila DUCE walitangaza na matokeo mapema, si kama hawa MUCEBasi muce na duce kuna shida pale maana hata duce walipigiwa simu
Umeeleweka kiongozi ngoja nikagombee ubunge sasaVyuo Vikuu vinaanzishwa kwa sheria, sheria husika ndo imevipa nguvu/hadhi ya kuwa mamlaka za ajira za watumishi wake, yaani wamepewa mamlaka ya kuendesha michakato ya ajira ya watumishi wake.
Ukiangalia saili nyingi za vyuo vikuu, PSRS imekuwa kama watch dog na kutumiwa kufanya shortlistings, tofauti kabisa na taaisi/instituties zingine ambazo PSRS huhusika moja kwa moja.
Nini kifanyike? Ni ukweli usiopingika kwamba PSPRS ukiacha mapungufu yake madogomadogo ni taasisi inayoaminiaka sana hasa na jobless na umma wa watanzania kwa ujumla, BUnge (Mbunge wako) ndo chombo pekee kinachoweza kufanya mabadiliko ya sheria zilizoanzisha vyuo vikuu na ile iliyoanzisha PSPRS ili kuhamishia majukumu hayo PSRS na kuifanya kuwa chombo pekee kinachosimamamia na kuendesha michakako ya kuajiri kwenye utumishi wa umma na kuwaongozea bajeti hasa ya rasilimali watu, ili michakato yake ifanyike kwa muda unaotajwa kwenye mkataba wa PSRS na wateja wake.
Nilishakubali matokeoUmethibitisha mkando au sio?ππππtatizo haikuwa shortlisted