Ndio mtaalam, kufaulu written kwa marks za juu sio guarantee ya kupata placement. Marks za written zinaishia kwenye hio hatua ya awali(mchujo).Kumbe
Aisee πNdio mtaalam, kufaulu written kwa marks za juu sio guarantee ya kupata placement. Marks za written zinaishia kwenye hio hatua ya awali(mchujo).
Unaweza pata 98 written afu oral ukaboronga imekula kwako hiyo, afu mwenye 50 written oral akafanya vzr analamba asali. Ila kwa wale wenye practical matokeo ya jumla hujumuisha wastani wa oral+ practical.kama umekuwa selected for oral ni kuanza kujiandaa vyema upya(competition ni kubwa) na kumtanguliza Mungu sana.
ShukranPalepale unapopata taarifa umekuwa shortlisted, selected for oral, placed as chini utaona print letter
Ameen mkuu tuwe na subiraAcha tu mkuu. Mungu mwenyezi atujalie nasi turudi hapa kumshukuru
Inakaa hapo hapo kwenye MDAs & LGAs ikionesha taasisi uliyopangiwa na hiyo Placed as itaonekana kwenye nafasi zote ulizowahi kuomba utumishi,π€£π€£Kwa mfano waliofanya za MDAs AND LGAs, nawenyewe placement as.....inakaaa apo kwenye MDA au wana upload taasis uliyopangiwa ndio wanaweka....??
Oral Yan written haihusiki Tena apoWakuu, kati ufaulu wa Written interview na Oral Interview ipi Wana consider sana wakati wa placement prioritization?
Lakini written interview ilikuwa online aptitude test π€Oral Yan written haihusiki Tena apo
Written ni hatua tu ya mchujo. Iwe aptiitude, maswali ya esse au multiple choice, writen ni kwa ajili ya kupunguza watu tu.. ndio maana watu wakiwa wachachhe wanaenda oral moja kwa moja ,Lakini written interview ilikuwa online aptitude test π€
AmenUTABIRI WA LEO
A. Mkeka kutoka~100%
B. Mkeka kutokutoka ~0%
NB: Leo lazima IT ainue mashabiki.
Cc. bky123
Saw mkuuUTABIRI WA LEO
A. Mkeka kutoka~100%
B. Mkeka kutokutoka ~0%
NB: Leo lazima IT ainue mashabiki.
Cc. bky123
π’πWritten ni hatua tu ya mchujo. Iwe aptiitude, maswali ya esse au multiple choice, writen ni kwa ajili ya kupunguza watu tu.. ndio maana watu wakiwa wachachhe wanaenda oral moja kwa moja ,
Yan ukifanya written na ukafaulu unakua unaanza upyaaaaaLakini written interview ilikuwa online aptitude test π€
Written ni hatua tu ya mchujo. Iwe aptiitude, maswali ya esse au multiple choice, writen ni kwa ajili ya kupunguza watu tu.. ndio maana watu wakiwa wachachhe wanaenda oral moja kwa moja ,
Kuna ndugu alifanikiwa kuingia serikalini mwaka huu. Kwa madai yake Written alipata 91.5, Oral akaboronga ila akapata kazi kwa sababu ya kufaulu writtenYan ukifanya written na ukafaulu unakua unaanza upyaaaaa
Kwa sera za utumishi wanaofany written na oral interview kweny placement wanaconsider oral tu maan written inakuwa mchujo tu na ndo maan kunbaadh ya kada uwa wanaitwa oral tu.Kuna ndugu alifanikiwa kuingia serikalini mwaka huu. Kwa madai yake Written alipata 91.5, Oral akaboronga ila akapata kazi kwa sababu ya kufaulu written
Duh πKwa sera za utumishi wanaofany written na oral interview kweny placement wanaconsider oral tu maan written inakuwa mchujo tu na ndo maan kunbaadh ya kada uwa wanaitwa oral tu.
Na kwa wale weny written,practical na oral uwa placement wanazingatia wastan wa prac na oral
Hii according na sera zao wenyew
Hii ipo kweny website yao mkuu wameielezea vizur tuDuh π
Ukiona hivyo ujue kuwa aliokuwa nao kwenye oral pia waliboronga , kwa hyo yeye ndio akaonekana ana afadhali kuliko woteKuna ndugu alifanikiwa kuingia serikalini mwaka huu. Kwa madai yake Written alipata 91.5, Oral akaboronga ila akapata kazi kwa sababu ya kufaulu written
Duh! Kumbe?!Ukiona hivyo ujue kuwa aliokuwa nao kwenye oral pia waliboronga , kwa hyo yeye ndio akaonekana ana afadhali kuliko wote