HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kuwa mvumilivu mimi pia kada yangu nilikaa miaka miwili bila received yeyote , lakini mwisho wa siku nilipata received mbili ambazo mpaka saivi zipo pending (Selected for Oral) kila siku nikuchungulia mikeka,.. Trust the process.we
Hii selected for oral ipo kwenye app au web
 
Kwenye oral jitahidi ujibu kila swali ,jitahidi uoneshe hata idea kidogo tu ya ulichoulizwa , Mara nyingine inatokea wanaouliza kwenye interview hawana ujuzi na hiyo taluma unakuta anayejua mmoj nk, jitahidi uoneshe idea kidogo,,, usipojua hakuna huruma hata kama ni mmoja wanataka 3 hutoboi
 
Samahani, hao Wanaotufanyia Oral interview za Maendeleo ya jamii ni maafisa Utumishi (HR) au amaafisa Maendeleo?
Mimi iliwahi nichanganya naingia kwenye app hamna kitu nikiingia kwenye website selected for oral
 
ano kama hata ww umelamba asali nami naamini soon nitalamba asali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…