HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hahaha sema watu Saizi wabishi sana....
Mkuu usiseme watu wabishi, ila wewe unachotaka watu waamini kile kilichotokea kwako kitokee na kwa wote, kitu ambacho ni kwenda kinyume na "human nature". Mfano mdau hapo juu amekwambia yeye amepata placement wakati hiyo app haioneshi kitu, then hata mkuu Jerry001 ile siku anatoa ushuhuda alisema hata yeye alipata placement ikiwa app haioneshi kitu. Sasa hapo ubishi wa watu upo wapi?
 
Umeona nimemkosoa mtu mi nazungumzia maana ya status... Pia system zinabadilika tuliza wenge mzee atujuani......
 
Alafu app yenyewe ilikua under maintenance kwa mda Mrefu,so wasifananishe ilivyokua inafanya kazi mwaka juzi na mwaka huu
 
Alafu app yenyewe ilikua under maintenance kwa mda Mrefu,so wasifananishe ilivyokua inafanya kazi mwaka juzi na mwaka huu
Yah na kuna mdau alishawahi kusema kwenye app haioneshi kitu. Anyway tuyaache mkuu maana nimejaribu kumuelewesha nimeishia kuambiwa nitulize wenge!
 
Nilikula NOT SELECTED
basi nikuendelea na mapambano
hakuna namna
Zote mbili mwaisa sema quality assurance ilikua kitonga sana aisee hata kama mtu hajasoma 50+ must japo wapo walofail lkn ilikua majibu ni humu tu nilipata marks za juu kasoro mbili nikaona hata admission itkuwa ivyo ivyo nikajikataa
 
Hapa umenena mkuu ata Mimi nakumbuka Oral yangu niliulizwa maswali 5 Kuna swali Moja nilikuwa sijui chochote lakini moyoni nikasema nisikae kimya nikajibu kwa ninachojua Mimi hatimae mkeka wa kwanza, wapili jina hili hapa
Ni vema Sana kutokuacha swali ata kama haujui Jaribu kuongea chochote Tena kwa confidence muda mwengine unakuta panelist hawana wanachojua kuhusu hiyo taaluma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…