Nakumbuka mkuu ulinambia niandae Suti nimeanza kuamini status kwenye App Zina maana Sana 🤝Kuna mda huwa wanaifunga hiyo ndio system inatumiwa mpaka makao psrs ila web haina update zozote baada ya oral
Ulipiga saili lini mkuu??ano kama hata ww umelamba asali nami naamini soon nitalamba asali
Ukikuta peupe jeee maana yake nn kwenye app alafu web iko selected for oralHahahaha 🤣 🤣 mama Jeni bye bye
Just kidding....
Kwenye app ukikuta kuna selected for oral unalamba asali ila ukikuta not selected umeyaaga mashindano
Subiri placement apo peupe inatakiwa ikae barua ....Ukikuta peupe jeee maana yake nn kwenye app alafu web iko selected for oral
Kwenye web inafunguka??View attachment 3376509
☝🏾Nikitaka ku login inaniletea hiyo error
NdiyoKwenye web inafunguka??
Komaa na web, app achana nayo.Ndiyo
Humu Nimesikia app ni nzuri kwa ku track kujua kama unakaribia kupata placementKomaa na web, app achana nayo.
App sasa hv Ina changamoto, hata baadhi ya new applications(received )haioneshi kabisa.Humu Nimesikia app ni nzuri kwa ku track kujua kama unakaribia kupata placement
App sasa hv Ina changamoto, hata baadhi ya new applications(received )haioneshi kabisa.
Cha muhimu jiamini, kama web inaonesha selected for oral kuwa mvumilivu, incase utapata placement itaonekana hapo.
Tumieni website ndo iko sawa sahivi
Sawa mkuuApp kwa sasa hivi hamna update yoyote. Ukifaulu written hawaandiki selected for oral, pia uki apply haionyeshi received . Kwa hyo tukomae na website tu.
Mungu atuone aiseeeVipi wadau PDF bado hazijapakiwa tu?.
Mimi nishajikatia tamaa hapa. Naona naharibu akili yangu tu.Mungu atuone aiseee
Naona hamna daliliVipi wadau PDF bado hazijapakiwa tu?.
Duh 🙄 Kwanini!?Mimi nishajikatia tamaa hapa. Naona naharibu akili yangu tu.