HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mliofanikiwa kupata Placement Hongera sana.
Tunawakaribisha katika Utumishi wa Umma, tunatarajia mtafanya kazi kwa weledi, huku mkitanguliza uzalendo. Watanzania wana matarajio makubwa katika utumishi wenu.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] dah utafutaji mgumu sana
hatari sana ndugu yangu hawajamaa wamesomea saikolojia ya majobless yaan wanagusa sehemu usiyotarajia unabaki umepigwa bumbuwazi.. 🀣 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…