Shukran kwa clarifications nzuri mkuu 🫡 na nmeidownload nimesoma apo kipengele cha 15(2) pg.11“Endapo kada moja imesailiwa na majopo zaidi
ya moja, matokeo ya majopo yote yataunganishwa na
kutengeneza orodha moja kwa kuzingatia alama za ufaulu
wa juu mpaka alama ya chini.”
Kanuni za uendeshaji shughuli za sekretarieti ya Ajira katika utumishi wa umma
Utakuta hayo maelezo na mengine mengi uk wa 11
😁😁 kumbukumbu zangu zinasema amalisema yuko NBSKumbe unakula asali ya kutosha huko,alafu unaniuliza check no.inafananaje? Mkuu uko sawa??
mmh Rahsully we unaongea tu hivi unapajua mpimbwe wewe.huko naskia maji mnashare na nyani....🤣🤣Watumwage tuu ikija sasa tutakataa,tutajua mbele ya safari hukoo,muhimu iyo chekinamba kwanza 😂😂😢
Ulifanya tarehe ngapi?Tulipeana no but ndio kila tukiulizana na mikeka ikitoka amna mtu kati yetu na sisi pia wale panelists walisema nyie mtapita wote coz walikuwa humble kiasi chake
aisee mie nipo fifty fifty kwa jinsi nilivyojibu kuna muda najiona nilijibu vizuri alafu kuna muda nikifikiria najicheka mwenyewe.maana lile swali la harmonics nilimkumbuka harmonize sasa nikijaribu kurelate na swali sioni kitu.nikakohoa tu kohkoh yao yao next question....🤣 🤣Hahahahha yan nmerelax tu hapa nasubir barua yangu🙊
sidhani kama huwa wanajadili marks baada ya kuondoka maana mimi nilikua wa pili kutoka mwisho kuitwa panel na ilikua almost saa 12 wafanyakazi wengi walikua wameshaondoka.labda kama ni siku nyingie baada ya interview.nahisi baada ya interview wanawasilisha points kwa idara husika then wanapitia unakua selected..Kunasiku humu mlisema nisikae pembeni kisa mlemavu nijitahidi kufika oral, oral nilifika nikapata mkando wangu nashukuru sana, nasubiri matokeo.
Swali langu hivi pale wanapoandika point na wakamaliza tunapotoka huwa wanajadili points zetu na kugawa marks mle mle wakuu si ndio?
kumbe ndo inavokuwa, sikudhani. Kuna dakika tatu walikuwa wanaweka karatasi nikajua wanapanga marks kabisa.sidhani kama huwa wanajadili marks baada ya kuondoka maana mimi nilikua wa pili kutoka mwisho kuitwa panel na ilikua almost saa 12 wafanyakazi wengi walikua wameshaondoka.labda kama ni siku nyingie baada ya interview.nahisi baada ya interview wanawasilisha points kwa idara husika then wanapitia unakua selected..
Nahisi watakua wanajadili baada ya Kila msaili kutoka kwenye chumba Cha usaili,mana the day Tunafanya usaili tuliambiwa by jioni ya hyo siku ,mkuu wao tayari atakua na matokeo ya waliofaulusidhani kama huwa wanajadili marks baada ya kuondoka maana mimi nilikua wa pili kutoka mwisho kuitwa panel na ilikua almost saa 12 wafanyakazi wengi walikua wameshaondoka.labda kama ni siku nyingie baada ya interview.nahisi baada ya interview wanawasilisha points kwa idara husika then wanapitia unakua selected..
Yaah mkuu Mimi Kuna watu nilifanya nao usahili mwaka jana mwezi wa 10 hatukupata wao wakaja kuchomolewa kutoka database mwanzo mwa mwaka huu(mwezi wa 1 na 2)Mkuu, Kuna ushahidi wowote wa mtu aliyewekwa database kuitwa placement?
Nilihisi hivi maana Kuna dakika zaidi ya 3 huwa wanakuwa wenyewe baada ya msailiwa kutoka nje.Nahisi watakua wanajadili baada ya Kila msaili kutoka kwenye chumba Cha usaili,mana the day Tunafanya usaili tuliambiwa by jioni ya hyo siku ,mkuu wao tayari atakua na matokeo ya waliofaulu
Ukitoka jamaa wanagawa na ufaulu kabisa.Kunasiku humu mlisema nisikae pembeni kisa mlemavu nijitahidi kufika oral, oral nilifika nikapata mkando wangu nashukuru sana, nasubiri matokeo.
Swali langu hivi pale wanapoandika point na wakamaliza tunapotoka huwa wanajadili points zetu na kugawa marks mle mle wakuu si ndio?
Hazinaga siku Malumu mpaka siku ya sikukuu wanatoahivi hawa wakuu huwa wanatoa pdf jumamosi???
Mkuu na wewe ulifanya zile RMA????..... Inshort hawaiti kwa panel baada ya watu kuisha wanachanganya majina yote Kisha wanapqnga kimarks kuanzia wa kwanza mpaka wa mwisho (Kuna jamaa wa PSRS alituambia hivyo)Wakuu nipende kuuliza kwamfano mmefanya oral watu wa kada moja na panel zaikawa kama 40, Je ? Kwenye kuita watu kazini wanaita kwa kila panel labda kuchukua mtu mmoja au wanaweka mkeka wa marks za pamoja ndio wana select?