Basi kumbe tulikuwa wote...kuwa mvumilivu mkuu nawe utaitwa mana jamaa alituambia Ile siku tumefaulu SanaNdio nilipiga izo sema jamaa wanavyo toa mikeka slow sana kila sku mmoja mara hamna kabsa 😀 ngoja tusubiri tutakuja na shuhuda🙏
Ndiyo mkuu uliona?? Au kada Yako haipo??sasa hivi?
Mkuu na wewe hujaweka Ahadi 😅😅Ila tukiwa jobless huwa tunatoa ahadi nyingi sana kwa Sir God, kuna jamaa yangu siku moja baada ya kupiga usaili pale Mbeya mjini aliapa hatovuta bangi tena kama atabahatika kupata ajira serikalini na atakuwa mtumishi mwema kwa kufuata sheria na kanuni za utumishi. This life bwana, Dah! Guess what! huyo jamaa yupo hapa jukwaani, namchora tu
Haya yote utayasahau mkuu kuwa na Imani🙏🙏Jobless kwa siku natembelea website ya utumishi mara nyingi kuliko hata IT mwenye kitengo chake
Pdf nzito ila wengn kada yetu hamna 😂Ndiyo mkuu uliona?? Au kada Yako haipo??
Page 19 ila imejaa walimu kama wote 😅Pdf nzito ila wengn kada yetu hamna 😂
Mwaka wao huu walimuPage 19 ila imejaa walimu kama wote 😅
Wanatukosea sana.Wanahamia kwenye jukwaa la ujenzi.
Mungu anisaidie nisisahau nilipotoka. Katika vitu huwa vinanishinda ni kujizuia kuwaeleza wengine namna nilivyofaulu au fanikiwa jambo fulani ili kama kuna cha kujifunza na wao wajifunze kupitia mimi.Maisha yapo hivyo mkuu. Watu wanasahau walikotoka.
Usiweke ahadi.Mkuu na wewe hujaweka Ahadi 😅😅
Kabisa MkuuUsiweke ahadi.
Weka mipango mkakati.
insha'Allah coz competition ilkuw kali sanaBasi kumbe tulikuwa wote...kuwa mvumilivu mkuu nawe utaitwa mana jamaa alituambia Ile siku tumefaulu Sana
90% ya PDF ni certificate na diploma mbalimbali ambao wengi wao hawapo JFNimekuwa mwaminifu kupitia comments zote zaidi ya page 7 ila zote hizo sijaona shuhuda na nimeona PDF za kutosha mambo bado kwetu watafutaji
Ila tusikate tamaa muda utafika kutakuwa na shangwe tuzidishe maombi
eeh kumbe ndo ivo mie nilivotoka nikaskia wanacheka...Ukitoka jamaa wanagawa na ufaulu kabisa.
siku ikitembelea itamuonea huruma.. 🤣 🤣Ile pisi haijawahi tembelea uku kumuona Mbaga Jr anavyoteseka..... Hahaha 🤣 😂
mtoto wawatu anajua unamiliki vituo vya mafuta kumbe bando tu mtiti..🤣🤣Angejua angenikimbia 😂
Inshallah kak tusubiri IT afanye yakeinsha'Allah coz competition ilkuw kali sana
Ynyw hapa nimesimama barabarani Karibu na hotel natumia wifi, boda akipitia na h TECNO yangu Ndo sionekani Tena online 😂mtoto wawatu anajua unamiliki vituo vya mafuta kumbe bando tu mtiti..🤣🤣