HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
amesema wakipata taarifa za muajiriwa mpya kucheleweshwa kuajiriwa watadili na muajiri kwa kufuata sheria kanuni na taratibu.
Hii taarifa wanaipataje ?
 
Ukiwaza unaishiwa pozi ila kama jinsi tulivyopata placement ndani ya mwez mmoja na ndivyo tutakavyowai kuingiza kazini Mungu anatupigania
Samahani chief, ulifanya oral interview lini na placement ukapata lini? Lengo langu ni kukadiria PDF langu litatoka lini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…