Bado kuna haja ya kungoja pdf ili ujue kuwa kada yako wameshaanza kuita watu , pia ujue tarehe zile ulizofanya usaili zimefika?Hivi wakuu kuna haja ya kungoja pdf? Si nasikia sasa hivi placements unaikuta kwenye account yako masaa matatu kabla ya mkeka?
Kumbe placement inakuwepo mapema hivyo!Hivi wakuu kuna haja ya kungoja pdf? Si nasikia sasa hivi placements unaikuta kwenye account yako masaa matatu kabla ya mkeka?
Utajipa stress mkuu Bora uchungulie kweny mikekaKumbe placement inakuwepo mapema hivyo!
Basi mimi nitakuwa nachungulia zangu saa 6 mchana, saa 9 alasiri, saa 12 jioni na saa 3 usiku basi. Yakipita masaa yote hayo hola; najipanga kusubiria siku inayofuata.
Kwenye account mambo yamesoma nini?Wakuu subirin shuhuda hapo, tayari nimefikiwa
Leta shuhuda kiongoziWakuu subirin shuhuda hapo, tayari nimefikiwa
Kama una received jipange upya wenzako mpaka tunaona jina tumeingia oral karibu mbili wengine tatu piga msuli boresha ulipokwama kwenye oral ya kwanzaNimechoka kupitia pdf kilichobak nawaachia wadau wangu wakiniona wanipigie tu simu
Nakuunga mkonoUtajipa stress mkuu Bora uchungulie kweny mikeka
Kabisa kabisa kikubwa afanye nyingi atawaotea tu kuna siku.Kama una received jipange upya wenzako mpaka tunaona jina tumeingia oral karibu mbili wengine tatu piga msuli boresha ulipokwama kwenye oral ya kwanza
#,give up is not option....
Hongrera sana mkuu. innallaha ma sabireen🤲🏽Nimejipata kwenye PDF la leo, Alhamdulillah! Tuendelee kuwa na subira hakika kwa Mungu kila jambo linawezekana.
Hongera sana sana mkuu...Nimejipata kwenye PDF la leo, Alhamdulillah! Tuendelee kuwa na subira hakika kwa Mungu kila jambo linawezekana.
Kwenye account vp umekutana na print placement latter..ama PDF ndio limekusanua... 🤔 🤔Nimejipata kwenye PDF la leo, Alhamdulillah! Tuendelee kuwa na subira hakika kwa Mungu kila jambo linawezekana.
Kwa mfano Mimi nipo Arusha. Nitoke Arusha kwenda Dodoma kutoa malalamiko au inakuwaje chief ?Nafikiria kwa mtumishi mwenyew kwenda kulalamika PSRS
Achana na hili zoezi, utapata headache ya bure.Hongrera sana mkuu. innallaha ma sabireen🤲🏽
Naomba kufahamu ulifanya Oral Interview lini ili na sisi tukadirie muda wa PDF letu
Ata kwa email mkuu njia utayoona itajibiwa harakaKwa mfano Mimi nipo Arusha. Nitoke Arusha kwenda Dodoma kutoa malalamiko au inakuwaje chief ?
Wakuu hawatak kuleta ushuhudaKuna mkeka mpya wa muda huu huu leteni shuhuda wakuu
Huu sijauzoom mkuu hebu utupie hapa basiWakuu hawatak kuleta ushuhuda
Sisi wengin kada zetu jina moja moja na pdf zingn hakuna kabisa😁