HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika

Huwa anagusa trh 21 anarudi nyuma tena dah!
mpaka Jana ni pdf za walimu tu, sijui hizi taasisi nyengine zitafikiwa lini. Kuna taasisi ilitoa Tangazo mwezi wa 11 , interview tukafanya 5 juni , apo sijui pdf la kazini itachukuwa mda Gani
 
Kumbe mtu akilamba asali, uki search jina lake google unaletewa mkeka wake ukiwa full. Kweli hakuna siri.
Na hiyo ndio njia rahisi ya kuangalia kama umelamba asali au la bila presha. Unaandika tu jina lako, kama upo utakuta search results ya kwanza imeandikwa "Sekretarieti ya ajira",halafu "Tangazo la Kuitwa kazini". Hapo kinachobaki ni kujua taasisi au halmashauri uliyopelekwa tu.
 
Kumbuka kuna watu majina yanafanana kila kitu , majina yote matatu yanafanana. Hapo kitu cha uhakika ni kwenye account tu.
 
Naona IT amegoma kutoka hapo mkeka wa mwisho trh 18 may, kila siku ni mwisho trh 18 may.. IT sogea kidogo bas hata ufike mwezi wa sita . Labda na sisi tunaweza kula mshahara wa mwezi wa saba.
Hahaha kama mimi wa tarehe 18 mwezi wa sita mbona inabidi niwe mvumilivu mnooo... 😄 😄
 
Sasa ukitumia Gemini inakupa maelezo hadi ya taasisi nyingine ulizowahi kufanya usaili na ukafaulu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…