Msela Lowkey
Senior Member
- Jul 3, 2021
- 144
- 199
Apo mkuu subr kam wiki 3 mpak 4 au mwezi kabisa ndo zitaanz pdf za mwez wa 6.pdf za mwezi wa 5 haziishi zipo nyingi nimesubiri za mwezi wa 6 sijui zitaanza lini
dohh wiki nne si mchezo hapo wanaweza wakaongeza nne nyingineApo mkuu subr kam wiki 3 mpak 4 au mwezi kabisa ndo zitaanz pdf za mwez wa 6.
Uwa inachukua mwez mzim after kumaliz interview pdf kutoka
Hizo haziishi Leo mana sisi tulifanya 18-05 na tulikuwa tunahitajika 382 na mpaka sasa majina wametoa ata 120 haijafika😅😅😅Kumbe wahanga tupo wengi, dah inaoneka hizi mwezi wa 5 zilikuwa pdf zenye ukubwa wa GB 2 maana haziishi😀
Mimi nilifanya mwez wa 5 then pdf ilianz kutoka week 4 mimi nikapat placement baada ya mwez na week 2dohh wiki nne si mchezo hapo wanaweza wakaongeza nne nyingine
Mpe hongera zake .. hyo ni nguvu ya database.Wadau kwema?
Natoa shuhuda kwa Niaba ya Mke wangu: Baada ya mwaka mzima toka afanye oral yake ya kwanza, hatimaye kafanikiwa kulamba asali.
Jumatatu nampeleka kuripoti kazini.
Alamsik!
Hakika ni Database na sio kitu kingine. Na uzuri zaidi kapata sehemu nzuri sana.Mpe hongera zake .. hyo ni nguvu ya database.
JIandae na maumivu😄😄😄Hakika ni Database na sio kitu kingine. Na uzuri zaidi kapata sehemu nzuri sana.
Kwamba ataachwaJIandae na maumivu😄😄😄
Mkuu natania usije ukotoa povu zito sana🔧🔧🔧 ziwe za kawaida
Kuwa na amani mkuu.JIandae na maumivu😄😄😄
Mkuu natania usije ukotoa povu zito sana🔧🔧🔧 ziwe za kawaida
Banter tu naona jamaa ameanzisha ya kataa ndoa😅Kwamba ataachwa
🤣🤣🤣🤣Banter tu naona jamaa ameanzisha ya kataa ndoa😅
Ad now watu 112 ndio placement the rest pending 😂😂Hizo haziishi Leo mana sisi tulifanya 18-05 na tulikuwa tunahitajika 382 na mpaka sasa majina wametoa ata 120 haijafika😅😅😅
Kama n muaminifu atajisimamia ila kam n tabia yake ata awe mam wa hme utachapiwa na bodaboda so muache akapige kaz mjenge uchumi wa familia 🫡Kuwa na amani mkuu.
Sina kipingamizi yeye kwenda kufanya kazi kwa maana alisomeshwa na wzazi wake na ni haki yake kufanya kazi.
Mambo mengine yapo tu mkuu, kama ni kuchapiwa hata akiwa ana genge watapita naye tu.
Naam umeiweka vema.Kama n muaminifu atajisimamia ila kam n tabia yake ata awe mam wa hme utachapiwa na bodaboda so muache akapige kaz mjenge uchumi wa familia 🫡
Ndio hivyo mkuu, watu tusikaril maisha ya watu kadhaa walio onyesha tabia mbovu, et nasis tuzuwie wake zetu kufanya kazi, hapana. Note, mtu mzima auwezi kumchunga💯Naam umeiweka vema.
For real.Ndio hivyo mkuu, watu tusikaril maisha ya watu kadhaa walio onyesha tabia mbovu, et nasis tuzuwie wake zetu kufanya kazi, hapana. Note, mtu mzima auwezi kumchunga💯
Naona vijana wanataka kucheza na hisia zako😀😀😀😀Banter tu naona jamaa ameanzisha ya kataa ndoa😅
Na wao zamu yao itafika. Kuimba kupokezana!Naona vijana wanataka kucheza na hisia zako😀😀😀😀