HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hongera sana, ila ulisafa
 
Siku nipata placements sio. Ila issue ni kuwa nashindwa kupita written kuingia oral aisee
nilichojifunza kuhusu written

Kwanza written sio ya kusoma kabisa unaweza soma A wakatoa B maana ni usahili wa mchujo

Pili written jibu short and clear kuna written moja hivi wadau walikuwa wanaomba karatasi hadi tatu ila waliofaulu sana ni wale waliotumia karatasi moja tu

Wwritten za utumishi ni kama kucheza alba sitini wengi waliofaulu hawajui walifauluje
 
Mmh mkuu wewe utakuwa ni diploma mimi Bachelor huwa ni kuchagua kaka multiple choice kaka
 
Acha tu mkuu not selected zimekuwa ni ngingi mimi oral kwangu sio changamoto imekuwa mtego kuchomoka hapaa
Hata ukichomoka hapo Oral sio rahisi km unavyodhani

Mbinu ni moja tu written uwe na majibu sahihi na Oral uwe na majibu sahihi, baada ya hapo kaa subiri usiseme Oral ni simple hata siku moja sio simple hivyo maana unakutana na watu tayari washawekewa nafasi especially jinsia Ke kwa hio km dume inabidi ufanye kazi mara 2 kuchomoka Oral
 
Hapa umeongea ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…