Maombi ulituma PSRS, hao TFS unawasingizia, hata hivo kuwa na subira watawaita usailiWakuu hivi hawa TFS wanaona kweli maombi yetu kwenye servers zao
Yaani wewe kunywa maji mengi wameanza kozi mwezi wa tano mpaka ipite miezi sita ndio wanatoka kozi bogi la saizi baada ya apo ndio muende nyieWakuu hivi hawa TFS wanaona kweli maombi yetu kwenye servers zao
Aisee Kazi ipo mkuu, Shukran sanaYaani wewe kunywa maji mengi wameanza kozi mwezi wa tano mpaka ipite miezi sita ndio wanatoka kozi bogi la saizi baada ya apo ndio muende nyie
Azipungui miezi nane mpaka tisa toka saizi.......
Shukran mkuuMaombi ulituma PSRS, hao TFS unawasingizia, hata hivo kuwa na subira watawaita usaili
Sent from my SM-G9280 using JamiiForums mobile app
Tumia Foxit ReaderWakuu mwenye ile option ya kuingizia saini kwenye document anisaidie
Wametoa nafasi?Wakuu gaming Board wameamua kurudi tena safari hii mchezo upo kwao
Naam wametoaWametoa nafasi?
Mkeka tayari huko leteni shuhudaNaam wametoa
Ni mwendo wa Halmashauri tu, Wale wa taasisi tuendelee kusubiriMkeka tayari huko leteni shuhuda
Mkuu kwani mpaka Leo hujapigiwa??Huu utaratibu wa kupigiwa simu ni kwa kila taasisi?
Wameruka Hadi tar 21/6 wengine hawana haraka naoNi mwendo wa Halmashauri tu, Wale wa taasisi tuendelee kusubiri
Bado aiseehMkuu kwani mpaka Leo hujapigiwa??
Labda written za kwenye computer ila za kuandika kusoma muhim mzeeWritten kama kamari tu nawaambia watu wananibishia
Written ukijiandaaa sana ndio unafeli
Nishawahi fanya written moja nikiwa nimelewa na sikusomaaa kabisaaa ndio nilifaulu
Written zingine zote nilizowahi zikeshea niliishia kula za uso
Duuh aisee Hawa waajiri wanatupa stress zaidi ya kusubiri placementBado aiseeh
HDuuh aisee Hawa waajiri wanatupa stress zaidi ya kusubiri placement
Hiyo haijalishi hata mafunzo hayawahusu psrs wao ni kuendesha Zoez la usail kumbuka hata kuita hutumia zaid ya miez pia ko ikifanyika saiv sawa tuMaombi ulituma PSRS, hao TFS unawasingizia, hata hivo kuwa na subira watawaita usaili
Sent from my SM-G9280 using JamiiForums mobile app
UDSM wanafanya usaili na oral within three weeks wanaita watu kazini.......hii sio ishu ya PSRS tuu na waajiri Wana play part ktk kupeleka mchakato kwa harakaMaombi ulituma PSRS, hao TFS unawasingizia, hata hivo kuwa na subira watawaita usaili
Sent from my SM-G9280 using JamiiForums mobile app