Umeelewa kweli nilichojibu kulingana na swali alilokuwa ameuliza jamaa hapo juu.Hiyo haijalishi hata mafunzo hayawahusu psrs wao ni kuendesha Zoez la usail kumbuka hata kuita hutumia zaid ya miez pia ko ikifanyika saiv sawa tu
Usijali na usivunjike moyo ndugu, ipo siku utafaulu tu na inaweza ikawa ndio oral yako ya kwanza na ya mwisho. kikubwa jiandae vizuri na Muombe Mungu naamini utavuka hiyo hatua.Yaan nakula ndoige sio ndoige kila nikigusa nakosa marks 7,8,10,2,1 nipeni mbinu wakuu wapi nakosea haloo Mbaga Jr Mwifwa Mhafidhina 2 kante mp2025 El marabiosh Kandambili1 Taejov na wengine wote mliolamba asali na ambao bado lkn mshawai ingia oral wakuu
Sio kwamba wanamaliza nafasi za wasaidizi waliofanya Oral Jan 2025Wameruka nafasi za maendeleo ya jamii daraja la pili
Mwendo ni uleuleeeeeIT naomba usiturudishe trh 18 huko tushatoka please🙌
Ni free au hadi ulipie?Tumia Foxit Reader
Kitonga mshuaNi free au hadi ulipie?
Mbona kashafika tar 5 mwezi wa sita kabisaIT naomba usiturudishe trh 18 huko tushatoka please🙌
Jioni hii karudi tena nyuma hadi tarehe 21-05😡Mbona kashafika tar 5 mwezi wa sita kabisa
Kesho anarudi 18 huyu 🙄Jioni hii karudi tena nyuma hadi tarehe 21-05😡
We bado sana, vuta subra, fungua moyo kunywa maji mengiTarehe 18 mwezi wa sita naona PDF letu limesahaulika aiseee hahaa
IT anaona sifa kurudisha mkeka nyumaKesho anarudi 18 huyu 🙄
Vuta kiti ukae mkuu, agiza na soda.Tarehe 18 mwezi wa sita naona PDF letu limesahaulika aiseee hahaa
Jana alivuta mpk trh 21 mwezi wa 6 ngoja tuone kesho anaweza kuja kivingine.IT anaona sifa kurudisha mkeka nyuma
Hahahaaa amna shida.We bado sana, vuta subra, fungua moyo kunywa maji mengi
Hahaha ok sawa nimechill hapa.Vuta kiti ukae mkuu, agiza na soda.
Kunywa maji moyo uelee utafikiwa....Hahaha ok sawa nimechill hapa.
Hiz placement jauKunywa maji moyo uelee utafikiwa....
Mvumilivu hula mbivu..... Ebu wafikilie na wale wenye not selected for oral ..Hiz placement jau