HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Sasa oral umefika na ujui kama umefaulu.... Bora not selected for oral๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Inatakiwa waje na system yakutoa matokeo watu wajue alf wabaki wanapanga watu wanajua wamefeli au wamefaulu sio kuwapa jamba jamba kila siku ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Inatakiwa waje na system yakutoa matokeo watu wajue alf wabaki wanapanga watu wanajua wamefeli au wamefaulu sio kuwapa jamba jamba kila siku ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
Nakumbuka walisema mwaka huu wataweka kwenye mfumo mtu utakua unaona kama upo database au ulichemka oral
Ngoja tusubiri hayo maboresho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ