HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakuu Msaada tafadhari, kuna mtu nilimfungulia ACC Ajira portal lakini nimefika mwishoni kwenye Ku preview CV naona tarehe ya kuzaliwa IPO ambayo siyo yake. Tarehe inasoma 1/01/1970 . Na edit vipi hapa na sioni sehem ya kueditia tarehe ??
 
Hapo ni bado namba yake ya nida haijawa updated kwenye mfumo , jaribu mpaka ikubali
 
Hivi mtu si ukipata placement si unaanza kuiona kwenye account then wanakuja kutoa PDF sasa ama?
Njoo utupe Ushuhuda wako: ulijisikiaje ulipoona mkeka wa kuitwa kazini na huna ndugu PSRS wala connection! Ukakutana na barua ya kuitwa kazini kwenye akaunti yako ya Ajira Portal.

Hongera sanaaa πŸ™πŸΏ
 
Kwani ameshapata placed? au aliuliza swali?
 
Kama ni hivi Kwa mtazamo wako ni vyema mtu awe anaingia kuangalia kwenye acc yake kila baada ya muda gani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…