HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Naomba kuuliza hili WAKUU

Mimi ni mwalimu wa sayansi masomo biology na geography, kwasasa nataka kuomba kufanya postgraduate diploma ya procurements and logistics management pale TIA, sasa kitu ambacho sielewi ni kuwa kwamfano kwenye maombi ya kazi utumishi naweza kuomba kazi ambazo vigezo ni degree ya kozi hiyo? Au mpaka nisubirie kazi za postgraduate tu? Na je kama mpaka nisubirie, je rate ya matangazo ya kazi serikalini kwa watu postgraduate diploma katika kozi hiyo ni nzuri au hali ni mbaya?


Wakuu ushauri wenu ni muhimu nisije kupoteza pesa zangu bure.

Nawasilisha
 
Yaani kuitwa kuanza kazi napo kazi, unasubiri hiyo simu haipigwi...😄.
Huo uhakiki wanapekua nini sijui, miezi miwili.
Kama unakazi nyingine, usiache immediately ukiona jina kwenye mkeka, utafuria mpaka sio vizuri.

Mwezi ujao mkuu kwenye tareh 20 na kitu inabidi uwahi kuripoti ili uanze kazi mapema upate Fursa ya kushiriki Kuna kaposho kanakuwepo😀😀
 
Kwamba ukiwa kwenye Database kuna notifications unapewa kua upo kwenye database kwa hio usisumbuke kuomba kazi na kutumia pesa kufanya usahili mwingine au hapo anamaanisha nini?
 
Yaani kuitwa kuanza kazi napo kazi, unasubiri hiyo simu haipigwi...😄.
Huo uhakiki wanapekua nini sijui, miezi miwili.
Kama unakazi nyingine, usiache immediately ukiona jina kwenye mkeka, utafuria mpaka sio vizuri.
Hakika mkuu uhakiki gani huo unaochukua miezi. 😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…