Champion number one
JF-Expert Member
- Dec 17, 2022
- 1,560
- 4,016
Yes inakua SELECTED FOR oralHio inakua hivyo baada ya Oral au baada ya placement kutoka? Kama umefaulu yaan inaendelea kusoma SELECTED for Oral au inasoma SELECTED for Placement au inaandikwa tu SELECTED basi?
Kuna case nyingine baada ya mfumo kuwa updates wa kuwekwa barua za kazi unaweza ukaingia kwenye app ukakutana na hamna kitu yaani plainHio inakua hivyo baada ya Oral au baada ya placement kutoka? Kama umefaulu yaan inaendelea kusoma SELECTED for Oral au inasoma SELECTED for Placement au inaandikwa tu SELECTED basi?
Hii app yao sijui ina shida Gani Yan sehem ya status kama ni selected for oral hata haionyeshi kitu .ila sehem ambayo hauko selected ndio inaonesha tena kwa maandishi mekundu.Yes inakua SELECTED FOR oral
Kuna case nyingine baada ya mfumo kuwa updates wa kuwekwa barua za kazi unaweza ukaingia kwenye app ukakutana na hamna kitu yaani plain
Andaa suti haraka na nauli ya kwenda kureport kituo cha kazi....
Barua ipo njiani chagua gari kwenye nyuzi za mad max....
Tawile...
Andaa sutiHii app yao sijui ina shida Gani Yan sehem ya status kama ni selected for oral hata haionyeshi kitu .ila sehem ambayo hauko selected ndio inaonesha tena kwa maandishi mekundu.
Hapo imekaaje wataalam
Kwako huko pia ni hivyo au?Andaa suti
Niliyonayo mm taarifa zinapishanaKwako huko pia ni hivyo au?
Mim ni selected for oralKwako huko pia ni hivyo au?
Jiandae ku report kazini hata mimi ilikuwa hivyoMim ni selected for oral
AmiiinJiandae ku report kazini hata mimi ilikuwa hivyo
Ukiona neno jekundu jua mama Jeni bye byeHii app yao sijui ina shida Gani Yan sehem ya status kama ni selected for oral hata haionyeshi kitu .ila sehem ambayo hauko selected ndio inaonesha tena kwa maandishi mekundu.
Hapo imekaaje wataalam
Unamaanisha kwamba app ndo kila kitu na wala siyo browser,? Pia ukiwa placed mabadiliko utayakuta kwenye app au browser?Ukiona neno jekundu jua mama Jeni bye bye
Ila ukiona hawaonyeshi kitu subiri barua
Sema tawile....
App ndio mchawi mabadiliko baada ya oral utayapata uko, browser aibadiliki na ukiona app inasumbua makao psrs wanakuwa wameifungia wanapandisha barua za placementUnamaanisha kwamba app ndo kila kitu na wala siyo browser,? Pia ukiwa placed mabadiliko utayakuta kwenye app au browser?
TawileApp ndio mchawi mabadiliko baada ya oral utayapata uko, browser aibadiliki na ukiona app inasumbua makao psrs wanakuwa wameifungia wanapandisha barua za placement
Sema tawile....
Ukiingia kazini usisahau kununua Subaru
Ukiona neno jekundu jua mama Jeni bye bye
Ila ukiona hawaonyeshi kitu subiri barua
Sema tawile....
Yeah πView attachment 3403230
You mean this...
Kwangu status aioneshi chochote ( ipo blank)Yeah π
Sema napokea asali π―
Soon wewe ni mtumishi mpya wa serikali apo barua yako inakuja
Sema tawile.....
Usisahau kununua suti kali pamoja na Subaru kutembea peku mwiko ......
Usisahau kuleta Feed back humu, watu ni wabishi mno.....
Endelea kufuatilia mikeka apo upo sehemu salama usipo pata direct utatoka data baseKwangu status aioneshi chochote ( ipo blank)
Hii app naona Haipo updated Kwa upande Wangu, Nilifanya Oral 5/6 mpaka Leo Iko blank . Nimefanya oral nyengine 17 na 18/6 Bado inaonesha Interview timetable. Ila kwenye browser zote zipo selected for oral.Kwangu status aioneshi chochote ( ipo blank)
Nisaidie ku login kwenye app tafadhaliHii app naona Haipo updated Kwa upande Wangu, Nilifanya Oral 5/6 mpaka Leo Iko blank . Nimefanya oral nyengine 17 na 18/6 Bado inaonesha Interview timetable. Ila kwenye browser zote zipo selected for oral.
Cha kushangaza kwenye browser Nina selected for practical Moja, nilipangwa practical 2 siku Moja mda mmoja , nilienda Moja na nikafanikiwa kuingia oral 5/6 . Ila kwenye app hii selected for practical Bado ipo blank.