HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Nisaidie ku login kwenye app tafadhali
Kwa mujibu wa screenshot uliotuma , hiyo error ipo kwenye backend/ database issue katika system Yao , ukiweka information zako zinaleta account mbili zinazofanana na information zako . Hayo ndio majibu niliopata baada ya kutafuta maana ya error unayoletewa. Hata ujaribu tena haito kibali wasiliana na utumishi, iyo ni kesi Yao .
 
ahsante
 
Hiyo app isikuumize kichwa labda kama wewe mwenyewe unatafutia vitu vya kukuumiza kichwa.
 
Kama una changamoto yoyote kuhusu Ajira Portal tembelea banda letu leo siku ya mwisho ya Maonesho ya Kimataifa ya Biashara Sabasaba Jijini Dar es Salaam tukuhudumie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…