HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Samahani mtaalaamu hyo blank ni upande wa my application au interview.
 
Mzee usijichoshe kuhangaika na app Kwa sasa Haipo up to date ukilinganisha na web. Kuna interview Moja app ilitaka kunipoteza, mda uliwekwa saa nne, kwenye web ni saa Moja, interview tukaanza saa Moja.
 
Mm nasemaga sana humu, mambo ya kuhangaika na app n kujiumiza kichwa tuu, kwenye web Ndo Kila kitu Ila bado humu watu wanaleta utoto wa received Kwenye app Na not received Kwenye web πŸ—‘οΈ
 
Hapana mkuu wametuambia tu tusubiri mshahara tukiingiziwa mshahara tutaenda training fupi pale HQ then watatupa barua ya vituo iyo ya kujikim mpaka tukishaenda kwenye kanda tutazokuwa tumepangiwa
Pesa ya kujikimu ni haki yako.
 
Hapana mkuu wametuambia tu tusubiri mshahara tukiingiziwa mshahara tutaenda training fupi pale HQ then watatupa barua ya vituo iyo ya kujikim mpaka tukishaenda kwenye kanda tutazokuwa tumepangiwa
Naona ajira yako imefunguka fasta mkuu, hongera sana. Wengine bado tunasubiri kupigiwa simu.
 
Hapana mkuu wametuambia tu tusubiri mshahara tukiingiziwa mshahara tutaenda training fupi pale HQ then watatupa barua ya vituo iyo ya kujikim mpaka tukishaenda kwenye kanda tutazokuwa tumepangiwa
Ukifika tuu inatakiwa muiandikie barua ya kulipwa hiyo pesa ya kujikimu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…