Nadhani badooVipi kale kautaratibu wallikosema tutakuxa tunaona kwenye account zetu kama tupo databse qu la,lini utaanza huu utaratibu?
Hakika mpaka kieleweke...Wapambanaji bila shaka mpo salama wa siha njema.
Pongezi za dhati kwa wote wanaendelea kuingia kundini, karibu sana.
Wale ambao bado, mapambano yaendelee.
Moto ni ule ule, ongeza received, hudhuria interview, pambana hadi oral, then mwachie Muumba afanye yake.
Chukua boda ni buku tuWakuu nipo hapa nyerere square Dodoma ,, nipande bajaji zinazoenda wapi ili niweze kufika ofisi mpya za utumishi wanazosema zipo mtaa wa mahakamani tambukareli ?
Na inaweza kunigharimu kiasi gani kama nauli ?
Relax, kama ni yako itabaki kuwa yako, anaweza kuitaja hy trh na ww usiwepo mana umeongeza utadhani umewekeana nae ahadi akuweke
NaamKaka
Asante sana kaka ubarikiwe sanaChukua boda ni buku tu
Hata kwa mguu unafika ndani ya Dk 5
Ila jibu langu lilikuwa OP sikuelewa location uliyokuwepo, nilifikiri upo maeneo ya ukumbi wa Jakaya Kikwete[emoji1]Asante sana kaka ubarikiwe sana
Nilifanikiwa kufika kaka usiwe na shakaIla jibu langu lilikuwa OP sikuelewa location uliyokuwepo, nilifikiri upo maeneo ya ukumbi wa Jakaya Kikwete[emoji1]
Ulipokuwa ni buku 2 au 3 kwa Boda hadi PSRS
Yaani mimi siwi shortlisted for interview.
Na mimi nataka nikatumie ujuzi wangu huko Gov
SIjui nakosea wapi?
Waliweka sababu si za kweli.Usipokua shortlisted huwa wanasema sababu, kama hujaweka cheti fulani, au cheti hakijawa certified, na kadhalika. Tafadhali pitia sababu zote walizoweka na uzifanyie kazi.
Kumbuka, kuwa shortlisted ni hatua muhimu sana na nyepesi sana katika harakati za kutafuta kazi serikalini. Au kama una specific issue, hebu sema ili wadau tushauri.
Kama waliweka sabab sio za kwel wacheki uwaeleze watakuweka kwenye majina ya nyongezaWaliweka sababu si za kweli.
ZilishapitaKama waliweka sabab sio za kwel wacheki uwaeleze watakuweka kwenye majina ya nyongeza
Em eseme hy sababu isiyokuwa ya kweliZilishapita
Zilishapita
Waliniambia sijaweka cheti cha internship, wakati nimeweka.Em eseme hy sababu isiyokuwa ya kweli