Hongera sana mkuu. Nakutakia utumishi mwema. Karibu kundiniHabari za jioni wote, Leo ni siku ambayo nilikuwa naisubiri ifike, hatimae leo ni siku ambayo mungu alikuwa amepanga kwa ajiri yangu, Namshukuru mungu leo imekuwa siku nzuri sana kwangu kulamba asali nono, nachoamini hamna kukata tamaa ni uvumilivu na kumuomba mungu kila mtu ana wakati wake sahihi ambao kapangiwa na mungu, Ambao bado hamjapata endeleeni kuvuta subra mungu ndo kila kitu ni maombi tu
Asante sanaHongera sana mkuu. Nakutakia utumishi mwema. Karibu kundini
Asante sanaHongera Sana mkuu katumikie vema umma 👏
Hongera san mkuu, karibu kwenye utumishi wa ummaHabari za jioni wote, Leo ni siku ambayo nilikuwa naisubiri ifike, hatimae leo ni siku ambayo mungu alikuwa amepanga kwa ajiri yangu, Namshukuru mungu leo imekuwa siku nzuri sana kwangu kulamba asali nono, nachoamini hamna kukata tamaa ni uvumilivu na kumuomba mungu kila mtu ana wakati wake sahihi ambao kapangiwa na mungu, Ambao bado hamjapata endeleeni kuvuta subra mungu ndo kila kitu ni maombi tu
Sawa mkuu,Punguza stress mkuu. Kama ulifanya oral na ukajibu maswali kwa uwezo wako wote amini utapangiwa kazi nzuri tu. Mungu atimize hitaji la moyo wako. Trust the process
Sikiliza mkuu, ukishafanya oral wewe kaa subiri utaitwa km ulivyokua unaitwa kwenye oral anaitwa mmoja mmoja ndio hivyo hivyo na kuitwa kwenye placement wewe subiri jina lako likitoka utalionaTuliofanya land officer June 4 mbn hatuguswi au Kuna namna ndio inavyokuaga kwenye ajira za wizara
Mkuu upo vizuri kwa upande wa kumtia mtu moyoSikiliza mkuu, ukishafanya oral wewe kaa subiri utaitwa km ulivyokua unaitwa kwenye oral anaitwa mmoja mmoja ndio hivyo hivyo na kuitwa kwenye placement wewe subiri jina lako likitoka utaliona
Mbona tangazo la kuitwa kazini linaonesha walifanya interview tarehe 28? Au waliofanya tarehe 10 tayari wameshawekwa kanzidata ?Walifanya tarehe 10 June
Round hii wadogo zetu sijui mmekuwaje! Hivi hapo usichoelewa ni Nini? Wameshakwambia hadi tarehe 28 maana yake tarehe 10 ipo ndani yake. Kinachofanyika wanaangalia kwanza kwenye uharaka then ndo waje kwa wengine, ndo maana unakuta mtu amefanya oral mwezi wa 2 au 3 anapata placement leo.Mbona tangazo la kuitwa kazini linaonesha walifanya interview tarehe 28? Au waliofanya tarehe 10 tayari wameshawekwa kanzidata ?
Mvumilivu hula mbivu. Kama unateseka ukiwa unasubiria ajira za LGAs, basi huenda ukapangiwa sehemu nzuri zaidi. Na kama ni hizi taasisi, basi ni vema kusubiri pia. Mambo yatajipa tu. Binafsi kila nikiona bado inasoma "shortlisted for oral", inaniuma lakini napata nguvu ya kusubiri kwa sababu taasisi niliyoomba bado hajaajiriwa mtu yeyote na zile nafasi hazijatangazwa kwa mara ya pili. Hivyo kuna mwanga mbele. Oral nilipiga tarehe 2 June.WATU TUSHAKATA TAMAA MKUU hususani hizi Green Green zinazosoma Selected for Oral halafu kwenye PDF jina hulioni nawashauri wangekua wanafuta ile Selected for Oral wanaandika tu NOT SELECTED mtu ujue what's next
Waliofanya interview September mwaka jana mpaka 28 June, hiyo 10 June ipo katikati ya hizo tarehe. Hivyo bado wapo kwenye mchakato wa kuitwa kama nafasi zipo.Mbona tangazo la kuitwa kazini linaonesha walifanya interview tarehe 28? Au waliofanya tarehe 10 tayari wameshawekwa kanzidata ?
Sawa mkuu, ngoja nisubiriMvumilivu hula mbivu. Kama unateseka ukiwa unasubiria ajira za LGAs, basi huenda ukapangiwa sehemu nzuri zaidi. Na kama ni hizi taasisi, basi ni vema kusubiri pia. Mambo yatajipa tu. Binafsi kila nikiona bado inasoma "shortlisted for oral", inaniuma lakini napata nguvu ya kusubiri kwa sababu taasisi niliyoomba bado hajaajiriwa mtu yeyote na zile nafasi hazijatangazwa kwa mara ya pili. Hivyo kuna mwanga mbele. Oral nilipiga tarehe 2 June.
Waliofanya interview September mwaka jana mpaka 28 June, hiyo 10 June ipo katikati ya hizo tarehe. Hivyo bado wapo kwenye mchakato wa kuitwa kama nafasi zipo.Mbona tangazo la kuitwa kazini linaonesha walifanya interview tarehe 28? Au waliofanya tarehe 10 tayari wameshawekwa kanzidata ?
Kada zote kwa walioingia oral ? au ni matumaini tu unawapozaKama ni May mwishoni kuingia June basi usijali jina lako litatoka tu trust me!, mwaka huu wote mliongia oral mtaitwa kazini.
Mhhhhhhhhhh hii ni kwel au watufariji....kuna kada oral tulienda 170 na nafas ni 20Kama ni May mwishoni kuingia June basi usijali jina lako litatoka tu trust me!, mwaka huu wote mliongia oral mtaitwa kazini.
Kada zote mkuu wala usijali. Kaa utulie usubiri mkeka, ila muhimu ujue tu kuwa mtaitwa kwa awamu kwahiyo kuwa mvumilivu tuKada zote kwa walioingia oral ? au ni matumaini tu unawapoza
Hiyo 20 imewekwa tu idadi huwa inaongezeka hivyo ni siri yao. Utaitwa tu usijaliMhhhhhhhhhh hii ni kwel au watufariji....kuna kada oral tulienda 170 na nafas ni 20
Usihofu sisi zilikuwa 17 , oral tukaenda 150 lakini mpaka saiv washaita watu zaidi ya 80 ... fanya usaili hata kama nafasi ni moja huwezi jua..Mhhhhhhhhhh hii ni kwel au watufariji....kuna kada oral tulienda 170 na nafas ni 20