HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kungekuwa na website inaonesha kila kada kwenye database kuna vijana wangapi na ingekuwa open ku view kadri vijana wanavyopata kazi inapungua ingekuwa safi sana, lakini pia watu waweze kuona wapo kwenye hiyo database au lah ili next interview ajipange vizuri
 
Mkuu mi nashauri ujiongeze tu
 
Hiyo ya mtu kuona majina yasiyomuhusu sio sahihi. Labda kila applicant awe na access ya kutambua current status yake ndio ingekuwa mwake.
 
Yaan km majina yashatoka na jina lako halipo kwenye PDF hapo ni Mungu tu ndio aliebakia afanye jambo uonekane bila hivyo tuliza wenge endelea na Maisha meengine database unaweza uwepo au usiwepo database yenyewe haipo open unaambiwa tu kuna database ila hujioni km upo au haupo na pia hupewi hata notification kwamba hujapita ila kwa sasa bado upo kwenye database, ndio kuna mdau humu kasema database ni huruma yao wao wakikuhurumia na Mungu akakuona ndio unakuta umewekwa hio ndio database
 
🀝🀝🀝🀝🀝 Asante sana ndugu yangu

Comment yako haijanisaidia mimi tu naamini imewasaidia mamia ya walimu wanzangu ambao wapo humu na amabao wanaenda kupapamba na oral siku ya tarehe 12

Vitu kama hivi ndiyo yunaitaji humu ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…