HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hakikaaaaaaa ipo hvyo
Database n maombi sana hali ya kuwa kuna watu kweli wanapata lakin inahitaji subra na ku focus na harakat zingne aisee. Na unapo itwa usail mwingne do better than you can, kwasababu database haipo open so n ngum kujua ulifaulu au la

Na wao wanasema awawezi kutangaza kazi adi watu wa database wa kada iyo wameisha so nikujiongeza

#__BILA KUCHOKA WAKUU🫡
 
Asante sana mkuu.... Nahisi presentation Ina marks kubwa sana...chagua topic nzuri ujitahidi kuwasilisha kwa student oriented method (kuhusisha wale panelist) huyu aliepata anasema maswali mengine yalimsumbua ila presentation aliigiza anafundisha hadi panelist wakabaki wakacheka.... Mungu akakusimamie
 
Kuna uzi uliwahi kusema walimu hawatakiwi kufanyiwa usaili na PSPR, bado unasimamia mtazamo huo ?
 
Mkuu wewe jipange tuu vizur na next interview adi utakapoitwa kazini...ata wakiweka huo mfumo malalamiko yatakua meng Zaid mtu akijiona database na haitwi adi mwaka unaisha ni heri hivi kiupofu watu wanapanbana wanatoka interviews zijazo
 
Jamani naona app ya psrs imerudii hewani kwangu mambo yamebadilika saivi kazi zote naziona na nilifanya marekebisho kwenye web asilimia zikapanda lakini kwenye app ilikua haionyeshi kitu lakini saivi kwenye app zimepanda pia.
 
Ni kweli app imerudi ....
 
Jamani naona app ya psrs imerudii hewani kwangu mambo yamebadilika saivi kazi zote naziona na nilifanya marekebisho kwenye web asilimia zikapanda lakini kwenye app ilikua haionyeshi kitu lakini saivi kwenye app zimepanda pia.
Kweli hata kwangu pia naona kuna mabadiliko hata upande wa vacancies naweza kuona matangazo ya kazi tofauti na mwanzo palikuwa plain tu
 
Spidi ya IT wiki ilopita na wiki hii si ya kuridhisha. Sijui amepatwa na nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…