Msaka njia
Member
- Nov 27, 2024
- 47
- 101
Hongera sana mkuu, usitusahau kwenye sala zako tuliobaki.Kwa heshima kuu, hii leo namshukuru Mungu wangu kwa kunijaalia kumumunya asali. Tangu mwaka 2021 mpaka hii leo nimeteseka na kuhangaika sana. Hatimaye pdf imetoka. Ndugu zangu wasakatonge msikate tamaa, wakati wenu utafika tu.
Kwenye web shortlisted imebadilika na kuwa Placed as: lakini kwenye app imebadilika kutoka shortlisted kuwa Selected for Oral na hakuna hiyo Placed as wala barua ya ajira. Barua ipo kwenye web. Hivyo nawashauri wasakatonge wenzangu muizingatie zaidi website.hongera mkuu na ahsante kwa ushuhuda na kutujuza.. kwaiyo selected for oral imekuja leo baada ya placement kwenye app au web au both ?
Tupo pamoja sana ndugu.Hongera sana mkuu, usitusahau kwenye sala zako tuliobaki.
😁😁Hao wazee wa PGO unazani huwa wanajaza majina kwa usahihi!!
Wakiyatafuta huko hawataona jina linaloendana hata moja[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hivi samahani inawezekana kabisa kupata kazi bila kusota na received za kila aina?Kwa heshima kuu, hii leo namshukuru Mungu wangu kwa kunijaalia kumumunya asali. Tangu mwaka 2021 mpaka hii leo nimeteseka na kuhangaika sana. Hatimaye pdf imetoka. Ndugu zangu wasakatonge msikate tamaa, wakati wenu utafika tu.
Ndio wengi wanapata mbona ni bahati tu interview ya kwanza na hyo hyo anaitwa kaziniHivi samahani inawezekana kabisa kupata kazi bila kusota na received za kila aina?
Yaani ni lazima upitie ups and downs za kutosha ndio wakuajiri, au inatokea tu kama coincidence?🌚
Hongera Sana Mkuu 👏Kwa heshima kuu, hii leo namshukuru Mungu wangu kwa kunijaalia kumumunya asali. Tangu mwaka 2021 mpaka hii leo nimeteseka na kuhangaika sana. Hatimaye pdf imetoka. Ndugu zangu wasakatonge msikate tamaa, wakati wenu utafika tu.
Sisi tunaofika Oral na hatuoni majina yetu kwenye PDF baada ya Oral maumivu yetu ni ×500 ya maumivu yako, unapita Written, unapita Practical, unaenda Oral baada ya Oral hujioni tena ndio umeishia hapo hii inauma usisikie tuWakuuu kwani nyie mna handle vip rejection za kufail written kila mara amabao mmekutana na hiyo hali😂😂😂🤣 aisee mimi ni inaniuma naona sina akili kabisa
Pole sana ila jipe moyo. Kama ulifanya oral ndani ya mwaka huu basi kaa tayari, you'll be "PLACED AS" wakati wowote.Sisi tunaofika Oral na hatuoni majina yetu kwenye PDF baada ya Oral maumivu yetu ni ×500 ya maumivu yako, unapita Written, unapita Practical, unaenda Oral baada ya Oral hujioni tena ndio umeishia hapo hii inauma usisikie tu
Sawa mkuu ngoja tusubirie tuone hio "Placed As" stoamini macho yangu, unapiga written unasubiria unaona selected for practical unafanya practical unasubiria unaona selected for Oral baada ya Oral unasubiria "Placed As", sawa mkuuPole sana ila jipe moyo. Kama ulifanya oral ndani ya mwaka huu basi kaa tayari, you'll be "PLACED AS" wakati wowote.
Ulifanya lini oralSawa mkuu ngoja tusubirie tuone hio "Placed As" stoamini macho yangu, unapiga written unasubiria unaona selected for practical unafanya practical unasubiria unaona selected for Oral baada ya Oral unasubiria "Placed As", sawa mkuu
Mkuu ni Mwezi June mwanzoniUlifanya lini oral
Hiyo umepata mkuu. Mwaka huu serikali inataraji kupata watumishi wengi wa kutosha, tena ikiwa ulifanya hizi za MDAs & LGAs ndo kabisa wengi wanahitajikaMkuu ni Mwezi June mwanzoni
Sawa mkuu ila mimi sikufanya hio MDAs & LGAs wanaitwa wengi naona kila PDF zikitoka ningekua nimefanya hio ningekua nipo tayari nimeshaitwa, anyways ngoja tusubiri tuHiyo umepata mkuu. Mwaka huu serikali inataraji kupata watumishi wengi wa kutosha, tena ikiwa ulifanya hizi za MDAs & LGAs ndo kabisa wengi wanahitajika
BILA KUCHOKA!Sawa mkuu ila mimi sikufanya hio MDAs & LGAs wanaitwa wengi naona kila PDF zikitoka ningekua nimefanya hio ningekua nipo tayari nimeshaitwa, anyways ngoja tusubiri tu
Budget itakuwepo kweli ya kuajiri watumishi wengiHiyo umepata mkuu. Mwaka huu serikali inataraji kupata watumishi wengi wa kutosha, tena ikiwa ulifanya hizi za MDAs & LGAs ndo kabisa wengi wanahitajika
Kumbee😅Ndio wengi wanapata mbona ni bahati tu interview ya kwanza na hyo hyo anaitwa kazini
Haya maneno ni mazito sanaHapan sio kwamba huna akili...la hasha wala kufeli usaili haimaanishi ww nanga.
Inategemeana na maswali ulokutana nayo siku hiyo kikubwa ni usife moyo ipo siku usiyo itarajia utapenya na hutaamini.
Omba na sali sana...Mungu anakuona na wala hajakutupa!