Kitu pekee kwa sisi watu wa imani, ni kwamba katika yote unayofanya mtangulize Mungu mbele. Mimi nakumbuka wakati nafanya written, nilikuwa lazima nifanye maombi kila baada ya swali moja.Kuna kitu kinaitwa kukubaliana na hali mkuu maana ikitokea umedondoka usikate tamaa jiandae upya kwa ku note vipengele ulivyokosea, wale utumishi wanakawaida ya kupenda kubase kweny vitu flan kwenye kada husika ukivijua soma adi nukta
DuuuuhKuna ndugu yangu naye amekutana nalo hilo. Eti ni mzee kwa wiki mbili. Upuuzi mtupu.
Karibu katika utumishi wa Umma.Kwa heshima kuu, hii leo namshukuru Mungu wangu kwa kunijaalia kumumunya asali. Tangu mwaka 2021 mpaka hii leo nimeteseka na kuhangaika sana. Hatimaye pdf imetoka. Ndugu zangu wasakatonge msikate tamaa, wakati wenu utafika tu.
Achana na habari za Apphongera mkuu na ahsante kwa ushuhuda na kutujuza.. kwaiyo selected for oral imekuja leo baada ya placement kwenye app au web au both ?
NDio inawezekana, zidisha sana maombi na ujiandae vizuri kwa usaili.Hivi samahani inawezekana kabisa kupata kazi bila kusota na received za kila aina?
Yaani ni lazima upitie ups and downs za kutosha ndio wakuajiri, au inatokea tu kama coincidence?🌚
Mambo ya bajeti wewe hayakuhusu, cha muhimu pambana upate kazi.Budget itakuwepo kweli ya kuajiri watumishi wengi
Pdf zenyewe wanatoa Moja Moja watakua washafulia hao,nakumbuka 2023 walikua wanatoa pdf kuanzia asubuh Hadi usiku wa manane ,ila mwaka huu hawana speed kabisaMambo ya bajeti wewe hayakuhusu, cha muhimu pambana upate kazi.
Kama historia ya mambo yako mengi hufunguka bila juhudi kubwa basi una bahati na kazi pia utaipata kibahati na kuna wale hutumia juhudi nyingi na kweny kaz lazima wapitie msoto illi kuipata. Omba bahati kuepusha stressHivi samahani inawezekana kabisa kupata kazi bila kusota na received za kila aina?
Yaani ni lazima upitie ups and downs za kutosha ndio wakuajiri, au inatokea tu kama coincidence?🌚
Mpaka Mwakani hio mkuu mwaka huu ndio ishatoka tena hioBILA KUCHOKA!
Bado endelea kusubiri labda utapangiwa Mwakani muda km huu yaan ushakula sana msoto kitaani ndio unaitwa na wewetar 29/05/2025 🤔🙁
Kusota ni lazima huwezi ukapitapita tu hivi hivi yaan kuna wenzio wanaenda mpaka mara 10/20/30/40 na kuna mwamba anasema kaenda zinafika mara 50 sasa hivi kaamua awe dereva bajaj tu na ajihusishe na masuala ya ufundi magari huko labda na udereva cheti cha academic katia kabatini yaan tangu mwaka 2016 anasotea tu ajira na hajapata anaishia oral tu basi sasa hivi kasema basi inatosha haendi tena Dodoma, anasema kuna interview moja walikua wanatakiwa watu wawili kwenye kupita mpaka oral wakabakia watatu na yeye akiwemo akasema hii Mungu ameniona kwenye kuitwa kazini jamaa kaachwa peke yake wenzake wawili wamechukuliwaHivi samahani inawezekana kabisa kupata kazi bila kusota na received za kila aina?
Yaani ni lazima upitie ups and downs za kutosha ndio wakuajiri, au inatokea tu kama coincidence?🌚
Unataka kusema Kuna chief humu ndani kasema tuzingatie ufanano wa hyo app na web.Achana na habari za App
Hii km sio mzoefu wa Ajira Portal unaweza ukajinyonga...Kuna received zinaenda kufikisha week 36 kama umri wa mimba ya kujifungua!.
Mtapata ajira tu vijana kikubwa kusubiri inaweza jina lako likawa placed as 2026/2027/2028 na ulifanya mwaka huu 2025 kwa hio muwe wavumilivu tu endeleeni kusubiri bila kuchokaUnataka kusema Kuna chief humu ndani kasema tuzingatie ufanano wa hyo app na web.
Huyo bwana kanisababisha nione kama nimeanza kuugua tezi dume kwa kuwa nasubiri hzo pdf kwa hamu.
Received zako zina umri gani?Hivi kuna mtu yuko shortlisted huko kwa wenzangu na mimi wenye received sugu.?
Sema ukweli...Mie nina received ya tangu feb 2023
Pole sana mkuu mwakani usichoke utaonekana tu..Dah tulipiga written za ualimu nkapita kwenda oral nkapiga. Sahizi zimetoka PDF 21 zote bila bila yani nimekata tamaa.
.....Leo ndo nimekuja kukumbuka maana halisi ya jina la uzi😂
“Kwanini utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini”