HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wamenichinja land officer
 
Kisanga Babu ila hili sidhani Kama lipo hii unamaanisha kilichofanyika huko nyuma ni kazi bure
 
Sidhani kama mchakato utakuwa wa aina hiyo.
 
Kwasababu haujaingia huko sio? Unawasagia wenzio.

Anyway kama walipata kazi kwa juhudi binafsi bila "kantuma" basi hawapaswi kuwa na hofu juu ya hili, sababu mtihani uta base kwenye field yao
Sasa ili upande daraja c ina maanisha uwezo wako umekuwa mkubwa, sasa kwann unashindwa kuonyesha kuwa uwezo wako umekuwa?

Sasa kama mtihani utabase kwenye field yao, hapo la kuogopa n kitu gani?

Yn ni sawa na waalimu walivyokuwa hawataki usaili, kama mtu umepambana na shule, chuo, mitihani na mengineo kwann uogope mtihani wa dkk chache tuu wakati tayari umeshakwepa mishale mingi nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…