HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
bodi ya mikopo hebu fanyeni mpango na sie majobless tuwe na bumu letu tutakufa jamani..
 
hivi kiongozi unaujua mtihani au unasema?

mtihani nikitu Cha ajabu saana, mfano wewe Sasa hivi unaweza ukapewa kazi yakutunga mtihani lakini siku ukiambiwa nenda kajibu mtihani uliotunga, ona utakavokuwa n hofu lakin pia sio hofu tu na unaweza kufeli pia.

lakin Kwa hoja yako yakusema kuwa mtu huna haja yakuogopa Kwa sababu mtihani utakuwa kwenye field yako sio lojiki, kwan wewe interview umefanya marangapi na unafeli wakati maswali yanatoka kwenye vitu ulivyosoma chuo au shule?

hao watumishi Wana mifumo inayowapima watumishi kwenye majukum yao, kwanin wasitumie huko kupima uwezo wa mtu katika utekelezaji wa majukum mpaka uje umpime uwezo wake Kwa mtihani wa siku Moja masaa machache!?

unajua siku ya mtihani mtu kaamkaje?
 
hao watumishi Wana mifumo inayowapima watumishi kwenye majukum yao, kwanin wasitumie huko kupima uwezo wa mtu katika utekelezaji wa majukum mpaka uje umpime uwezo wake Kwa mtihani wa siku Moja masaa machache!?
Kwan ukisikia neno mtihani unaelewa nn?

Inawezekana hiki ☝️ ulichokiandika ndio mtihani wnyw.

Mm kushindwa kupata kazi pamoja na kufanya mitihani/saili kadhaa sidhani kama ni hoja ya msingi mana pale tunakuwa wengi wenye uwezo tofauti ila kwenye hii ishu ya watumishi ni wanakuwa wao wnyw kwenye cycle inayowafahamu vzr.
 
Maelezo ya kipuuzi sana.
 
Wakuu ni lini UTUMISHI watatoa ratiba ya kwenda kufanya interview MDA&LGA kwa tangazo la tarehe 19/07/2025 maana waliandika watatoa ratiba kamili kwa kila Kanda na sehemu za kufanyia interview
 
Wakuu ni lini UTUMISHI watatoa ratiba ya kwenda kufanya interview MDA&LGA kwa tangazo la tarehe 19/07/2025 maana waliandika watatoa ratiba kamili kwa kila Kanda na sehemu za kufanyia interview
Ukishaomba kazi tu. Vitu vyote kuanzia ratiba za usahili , ufaulu mpk placement unavipata kwenye account yako.
Nakushauri tembelea account yako update zote utazipata huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…