Huyu atuambie baada ya oral status yake ilisomaje? Tujue mbivu na mbichiUnaapply Tena utakuwa na advantage ya kujiandaa vizuri baada ya kuona oral iliyopita ilikuja kwa mfumo gani
Kaka baada ya oral status ilisomaje?Sawa nime waelewaaa... ngoja niedit barua.
nifanye kwel sasa hivi.. niwakilishe majobless vzr
Ngoja aje atujibuKaka baada ya oral status ilisomaje?
Hawa walifanya oral moja kwa moja hawakuwa na written bila shakaKaka baada ya oral status ilisomaje?
Hii Muhas walikaza maana wao ndio waliendesha mikando[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Utumishi makatili sana
Selected for Oral ya green mkuu.Kaka baada ya oral status ilisomaje?
Huu mkando wa kimataifa [emoji23][emoji23]Selected for Oral ya green mkuu.
halafu ni Chuo Kikuu Mkuu. huwa hawasiani na Psrs kwa mm ninavyo onaa.
n tumekandwa wote Oral.
Wewe mkurugenzi bado haujanza majukumu yako huko Kwenye mrija wa asaliShida ni hizi taasisi
Ndo maana nikasema shida ni hizo ofisi zinazotaka wafanya kazi nipo tu mtaani nacheza poolWewe mkurugenzi bado haujanza majukumu yako huko Kwenye mrija wa asali
Mlipiga written au oral moja kwa moja?Selected for Oral ya green mkuu.
halafu ni Chuo Kikuu Mkuu. huwa hawasiani na Psrs kwa mm ninavyo onaa.
n tumekandwa wote Oral.
Chuo husimamia na psrs huwa waangalizi wa protocol's then majina na marks zinapelekwa psrs ndo zinakuwa uploaded kwenye mfumoSelected for Oral ya green mkuu.
halafu ni Chuo Kikuu Mkuu. huwa hawasiani na Psrs kwa mm ninavyo onaa.
n tumekandwa wote Oral.
Aisee Basi ni hatari Sana hii nchiNdo maana nikasema shida ni hizo ofisi zinazotaka wafanya kazi nipo tu mtaani nacheza pool
Nyie nadhani mnaanza kuripoti labda mwezi ujao kazini au wakwanzaNdo maana nikasema shida ni hizo ofisi zinazotaka wafanya kazi nipo tu mtaani nacheza pool
😂😂😂😂Kwanini?Huu mkando wa kimataifa [emoji23][emoji23]
Written tulipiga tukachujwa tukabak wa3. tukala za kichwa Oral.Mlipiga written au oral moja kwa moja?
Wenzio status zao zilikuwaje au zilikuwa sawa kama yako?Written tulipiga tukachujwa tukabak wa3. tukala za kichwa Oral.
Nenda kachukue kazi hiyo, nasema nenda soldierWritten tulipiga tukachujwa tukabak wa3. tukala za kichwa Oral.
Mkuu mda wa Oral c kila mtu anakuwa adui yako kwa muda uleee(maana kila mtu anacompete apate iyo position).. baada ya pale hatuja taftanagaa labda nikutane nao mara ya pili niwaulizeee.Wenzio status zao zilikuwaje au zilikuwa sawa kama yako?
mwamba hata shortlist badoo..Nenda kachukue kazi hiyo, nasema nenda soldier