HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Msaada : hizi ofisi za secretariat ya ajira tambukareli ni maeneo gani hapa dodoma ....
 
Mahakama Tanzania paper lilikuwa rahisi nini mbona ni majanga hivi japo cutting point hamtaki kuonyesha.. 😄 😄
 
Mbona kama mmechoka au na nyie ni wajumbe🤭IT kauchubua na nyie tena kimya mnatutisha bwana! 😅
 
Kuna mwingine kapata leo database TBA Kupitia interview ya Tutorial assistant hadi najuta kwanini sikwenda kwenye hizo interview.
 
Kuna mwingine kapata leo database TBA Kupitia interview ya Tutorial assistant hadi najuta kwanini sikwenda kwenye hizo interview.
Watu hawajui database ina apply everywhere mtu anakuja kupotosha umma eti nafasi za kufundisha vyuoni hazina database,kikubwa upate ile alama inayohitajika
 
CONFIRMED!!
Maafisa Utumishi na Maafisa Utawala wote waliokuwa wanaanza na TGS D, sasa wamehamishwa mpaka TGS E which means wataanza na salary ya 1.15m kwa TGS E1. OKTOBA NITATIKI HATA MARA MBILI KAMA INAWEZEKANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…