Kandambili1
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 1,124
- 2,982
Mungu ni mwema sana mkuu utapata tuBado sijapata kazi na tukipata nafasi nasisi tutatoa shuhuda humu....ila kwa wale wanajiandaa na oral ni muhimu kuwa na spare point kwenye nafasi unayoomba (point inayofit sehem nyingi) na maswali mengi )
Interview ya mwisho swali kwann ni muhimu msajili wa vyuo kufollow up selection process nilitaja point 4 panelist alivyosema bado moja nikapoteana hapo point nazo zipo mafichoni huko ..
Ni to save cost nikaelezea kufuatilia selection process kwaukaribu itarahisisha msajili kukidhi regulations na expectations needed kwenye uchaguzi wa wanavyuo so itacut unnecessary cost both sides office side na applicants side
Nasubiria majibu kama nilipitaga hapa hahaha
Point spare zipo kulingana na kada husika na kazi husika...tuombeane tupate wote humu
Amen na ikawe hivyo mkuu ...Mungu ni mwema sana mkuu utapata tu
Na wewe ni mwl mwenzangu ?asee nimepata placement wilaya ya moshi vijijin, natakiwa kuripoti mwishon mwa mwez huu. tafadhali naomba contact zako unisaidie kwenye kutafuta chumba/nyumba huko. asante.
Mimi sikutoka batch ya mwanzoni, ila nilipopata placement, nilipata dept ya uhakika mnooooo. Kwa hiyo issue ya kuwahi sidhani kama ina tija sana. Unaweza ukawahi ndiko siko.Oral ni "final touch" hivyo hakikisha unapambana kana kwamba hiyo ndio oral yako ya mwisho kwenye maisha yako. Pia ikiwa nafasi unayopambania zipo kuanzia 100+ jitahidi upambanie maksi za juu ili hata kama wataita kwa kufuata ufaulu basi nawe utoke kwenye batch za mwanzoni.
Ni hayo tu wapambanaji wenzangu. BILA KUCHOKA!
Mimi nadhani ni bora arekebishe cheti cha kuzaliwa. Nida wazinguaji sana. Hawafanyii mabadiliko ya taarifa kwa wakati.Shida ipo japo si kubwa sana. Kuna mwenzangu mmoja tulipoenda kuripoti alikuwa na shida ya kutofautiana majina. Baada ya kumpa nyaraka za kujaza, alupomaliza wakamwandikia barua aende NECTA kwa ajili ya mahojiano ya ana kwa ana. Alipomaliza akawarudishia barua nyingine iliyotolewa na NECTA. Zoezi likawa limekamilika. Kwa suala lako nadhani utaambiwa uende NIDA wakarekebishe; hilo jambo unaweza kulifanya hata kabla ya kwenda kuripoti kazini.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 was that "mwalimu mwenzangu" necessarily??? 😂😂😂😂😂😂Na wewe ni mwl mwenzangu ?
Unapiga oral lini? Ni DODOMA auHabari wakuu!!? Naombeni msaada kwa waliowahi kufanya Oral interview utumishi kada ya Risk management officer, Maswali wanayo Pendelea Kuuliza katika Kada hiyo.
Napiga Oral jumatatu Hapa hapa DaresSalaamUnapiga oral lini? Ni DODOMA au
Unaogopa kutambulika kama mwalimu ?😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 was that "mwalimu mwenzangu" necessarily??? 😂😂😂😂😂😂
no problem bro, I hope utanisaidia kwa hilo.Unaogopa kutambulika kama mwalimu ?
Mbona mimi ni mwl tena nafundisha somo la kuandika.
ushapangiwa wewestatus zinabadilika kwene profile yangu mpaka nashindwa kuelewa.kuna status sjawai kuchaguliwa oral inaniambia seleced for oral na interview ishapita kitambo.hili litakua ni swala la kiufundi nimeamini na haliusiani na kitu chochote
oya mhafidhina07 🤣 🤣 nimepangiwa wapi na interview sijawahi hata kufanya au na kwako ndo ilikua ivyo..?ushapangiwa wewe
Hitafanya written interview utafanya oral interview ndo maana yakeoya mhafidhina07 🤣 🤣 nimepangiwa wapi na interview sijawahi hata kufanya au na kwako ndo ilikua ivyo..?
sjaelewa apa..Hitafanya written interview utafanya oral interview ndo maana yake
Kuna position Huwa hawafanyi written interview ni oral moja kwa mojasjaelewa apa..