GWAMAKA USWEGE
JF-Expert Member
- Feb 23, 2023
- 2,017
- 7,406
status zinabadilika kwene profile yangu mpaka nashindwa kuelewa.kuna status sjawai kuchaguliwa oral inaniambia seleced for oral na interview ishapita kitambo.hili litakua ni swala la kiufundi nimeamini na haliusiani na kitu chochote
hii haijabadilika zimebadilika za nyuma uko..Kuna position Huwa hawafanyi written interview ni oral moja kwa moja
Kipi hujaelewa mkuuhii haijabadilika zimebadilika za nyuma uko..
nimekuelewa nimekwambia hizi ambazo nilichaguliwa oral sraight zipo vilevile ila zilizobadilika ni zila zinazoanzia written alafu ni za kitambo.zilikua not selected for oral lakini now zinaniambia selectedKipi hujaelewa mkuu
Nimekuelewa mkuu ila kwa hicho sifahamu kabisanimekuelewa nimekwambia hizi ambazo nilichaguliwa oral sraight zipo vilevile ila zilizobadilika ni zila zinazoanzia written alafu ni za kitambo.zilikua not selected for oral lakini now zinaniambia selected
itakua ni matatizo ya mfumo nazani...Nimekuelewa mkuu ila kwa hicho sifahamu kabisa
Mkuu kwenye app sio?status zinabadilika kwene profile yangu mpaka nashindwa kuelewa.kuna status sjawai kuchaguliwa oral inaniambia seleced for oral na interview ishapita kitambo.hili litakua ni swala la kiufundi nimeamini na haliusiani na kitu chochote
amna ni kwenye web vp baadhi ya post zilizopita..Mkuu kwenye app sio?
Hii ikawe ishara njema kwako....nabaki mwenyewe huku sio muda
Sijaangalia kabisa ..hii ikawe ishara njema mkuu ukalambe asali....safari hii nasisi tureport kazini.amna ni kwenye web vp baadhi ya post zilizopita..
aisee mi nshachoka cheti chenyewe ndo kinaexpire...Sijaangalia kabisa ..hii ikawe ishara njema mkuu ukalambe asali....safari hii nasisi tureport kazini.
mkuu hizi za June naona kuanzia jumatatu wanaenda kutupa jbu letu tujue tunafanyaje ...aisee mi nshachoka cheti chenyewe ndo kinaexpire...
dah pumzi ishakata aisee ngoja tuone itakuaje maana kurenew certificate na nauli si mchezo..mkuu hizi za June naona kuanzia jumatatu wanaenda kutupa jbu letu tujue tunafanyaje ...
Kilakitu kitaenda sawa mkuu.
kabisa mkuu... unaingia gharama mpya ngoja tuone mkuu....Kuna jambo tutaongea PM mambo yakichelewa na certificate ikiisha muda mkuudah pumzi ishakata aisee ngoja tuone itakuaje maana kurenew certificate na nauli si mchezo..
Yap hapo kwenye umri inawekana japo kwenye Tangazo sijaona kigezo cha umri kuwa mwisho 30 Yrs bali 45 Yrs.Haufai mkuu ina maana mkuu kaangalie na umri maana mwisho ni 30
Subiri job category ikae sawa utaomba na itakubali.Aisere msaada tutani kuna nafasi ya Management officef 11 ya hazina wametoa ...na vigezo wanahitaji mtu aliyesoma pamoja na Accounting...Mie nimesoma.Bcom Accounting ..nikiapply inanikatailia..sijui shida itakuwa nini
Mtandao wako tuuWakuu, hii Ina maana gani?
View attachment 3437362
Hapana mkuu, mitandao upo strong sanaMtandao wako tuu