HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mkuu kwa issue yako unaweza kuona kama hakuna shida lakini siku ya siku utumishi wanaweza kukushangaza usiamini.

Hapo hebu jaribu kufuata ushauri wa huyo jamaa aliekwambia uende kwa mwanasheria, ili uwe na amani. Vp cha NIDA majina yanasomaje
 
Nida pia ni

Ezekiel abdalla kisimba

Okay acha tu nifuate ushauri wa jamaa tayari nimechukua usafiriki naelekea ofisi za mwanasheria

Mambo yasije kuwa mengi
 
Asante ndugu yangu ngoja nielekee kwa mwanaseheria anisaidie kupata deadpoll
Tamka "Mwanasheria" na "Deedpoll ''Didpol" huandaliwa na kuthibitishwa na Mwanasheria au Hakimu kisha husajiliwa kwa Kamishina wa Ofisi ya Usajili wa Hati katika Wizara ya Ardhi. Ofisi hizi za Usajili wa Hati zipo katika kanda nane za usajili katika mikoa ya Dodoma, Mwanza, Moshi, Mtwara, Mbeya, Tabora, Dar es Salaam na Morogoro.
 
Apa avina tatizo sababu vyeti vingi vya form 4 na 6 tulitolewa kwa initial ya kati . Na usaili tunafanya kawaida
 
Apa avina tatizo sababu vyeti vingi vya form 4 na 6 tulitolewa kwa initial ya kati . Na usaili tunafanya kawaida
Tatizo lipo, mimi ni wakili kwa professional yangu, atafute Wakili aliekaribu nae amuandalie deedpol na akaisajili ardhi.
 
Wanakagua cheti cha kuzaliwa na ID tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…