HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Majina??? Basi inategemea na kanda sie huku huwa tunakaguliwa vyeti vyote ndio ila majina wanaangalia cheti cha kuzaliwa na ID tu kama yanaendana maana ata yangu yapo hivyo hivyo na sijawahi kusumbuliwa popote!
Hata mimi kwenye vyeti vya taaluma yanaonekana majina mawili tu yaani Jina langu na lile la Ukoo. Kwenye NIDA yapo matatu na kwenye cheti cha kuzaliwa yapo matatu pia. Walipokagua hata hawakusema neno na hata kwenda kuhakiki vyeti kwa mwajiri haikusumbua.
 
hawaelewekagi hawa yaani ni ovyo ovyo ukisema uwafatilie utaumiza kichwa cha msingi ni kufuatilia pdf tu mpaka kieleweke..
 
Zmetangazwa kama re advertised au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…