HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Haina shida. Mimi nipo kazini. Nina vyeti kama vyako
 
Mkuu kwa issue yako unaweza kuona kama hakuna shida lakini siku ya siku utumishi wanaweza kukushangaza usiamini.

Hapo hebu jaribu kufuata ushauri wa huyo jamaa aliekwambia uende kwa mwanasheria, ili uwe na amani. Vp cha NIDA majina yanasomaje
Mimi nimepita usaili wote hadi kupata placement vyeti vya sekondar vikiwa na initial. Sijapata hiyo changamoto.. Wewe unamfahamu aliyewahi kupata changamoto ?
 
Tatizo lipo, mimi ni wakili kwa professional yangu, atafute Wakili aliekaribu nae amuandalie deedpol na akaisajili ardhi.
Unapotosha
Mimi nimepita usaili wote hadi kupata placement vyeti vya sekondar vikiwa na initial. Sijapata hiyo changamoto.. Wewe unamfahamu aliyewahi kupata changamoto ?
 
Unapotosha
Mimi nimepita usaili wote hadi kupata placement vyeti vya sekondar vikiwa na initial. Sijapata hiyo changamoto.. Wewe unamfahamu aliyewahi kupata changamoto ?
Mm namfaham Kuna mmoja alizuiliwa kuingia written kabisa kisa jina lake la kati Lina initia tu akaambiwa aende kwa mwanasheria,utumishi hawatabiriki n vyema ukajipanga vizuri wasijue wakakusuprize
 
Mimi nimepita usaili wote hadi kupata placement vyeti vya sekondar vikiwa na initial. Sijapata hiyo changamoto.. Wewe unamfahamu aliyewahi kupata changamoto ?
Hii nazani inategemea na mkaguzi Mimi mwenyew vyeti vyangu jina la kati ni initial lakini mpaka naingia kwenye mrija wa asali sijawahi kuulizwa mambo ya Deadpool
 
ok ngoja sasa niwe nachungulia tu kwenye akaunti maana hizi picha za kwenye web zinanimalizia mb tu....
Lakini kufuatilia kwenye akaunti ni presha sana. Pale inavyo-load, matarajio yako ni kuona "PLACED AS", ila moyo utaanza kuuma ukiona bado ipo "SELECTED FOR ORAL".
Nakushauri uendelee kufuatilia kwenye Sekretarieti tu. Mimi bado najitibu asidi iliyoibuka wakati nasubiri Placement huku nikichungulia akaunti😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…