HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
ok poa.ila mpaka tupate hizi kazi tutakua tumenyooka..
 
Kweli aisee
 
swali kwa mliopata kazi hivi kati pdf kwenye web na barua kipi kinatangulia kutoka......?
Jana niliwauliza hili swali wakati tunataka tuanze oral interview pale utumishi

Walisema ,, inaanza barua ,, kwasababu baada ya kuwa wameshamaliza mchakato wote na katibu kuainisha kila kitu

Hatua inayofuata ni kutuma barua kwa watu waliopata kazi katika account zao ..

Baada ya hapo ndiyo hupeleka taarifa kwa mtu wa mawasiliano ambaye hutengeneza pdf na kuituma katika page yao .

Hivyo wanaweza kumtumia asubuhi lkn i.T upande wa masiliano akatengeneza pdf na kuituma jioni ..

Hivyo basi mtu ataanza kuona kwanza barua katika account yake afu then ndiyo atakuja kuliona jina katika PDF ..
 
ok hapo nimekupata fresh..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…