Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mkuu nadhani kuna Kanuni

Kanuni za ufaulu;
Iwapo wasaili watafungana alama basi mlemavu atapewa nafasi, iwapo hakuna mlemavu basi mwanamke atapewa nafasi, endapo wote ni jinsia moja mfano wote ni mabeberu basi mwenye umri mkubwa atapewa nafasi.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kumbe tena Kuna mambo ya jinsia na umri aseeeh tutafika tumechoka sana
 
Mkuu nadhani kuna Kanuni

Kanuni za ufaulu;
Iwapo wasaili watafungana alama basi mlemavu atapewa nafasi, iwapo hakuna mlemavu basi mwanamke atapewa nafasi, endapo wote ni jinsia moja mfano wote ni mabeberu basi mwenye umri mkubwa atapewa nafasi.
Umri sidhani mkuu, maana naonaga utumishi wanatabia ya kuchukua fresh graduates from chuo na ni wadogo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…