Nilijua tu kuna watu itawagomea ila inakubali wewe tia number ya mtahiniwa na mwaka basWakuu hili limekaaje kwa sisi tuliomaliza 2013 na kupata division 4 ya 34 na kuendelea naona mfumo unatugomea
Mwaka ambao division 4 ilienda mpaka 37🖐️🖐️Wakuu hili limekaaje kwa sisi tuliomaliza 2013 na kupata division 4 ya 34 na kuendelea naona mfumo unatugomea
Ilienda mpaka 40 nadhanMwaka ambao division 4 ilienda mpaka
Inanigomea inaandika examination failed, jumatatu nawafata huko huko dodomaNilijua tu kuna watu itawagomea ila inakubali wewe tia number ya mtahiniwa na mwaka bas
Angalia pale kuna aina tatu ya format namna ya kujaza kwa ordinary level pc na nyongine ile sijui ni nini! But nazan itakaa sawa watarekebisha mkuuInanigomea inaandika examination failed, jumatatu nawafata huko huko dodoma
Wameamua kuweka siri ngoja tuwaache tu hakuna namna tunaweza fanya mpka watakapo amua waoHii naona ya kujua upo Data base bado wameifanya kipengele mkuu😌😌,
Stress zitatumaliza kitaa
Nlichoelewa ni kuwa wenye 4 ya kuanzia point 34 hawawatambui, wanahesabu kama ni zero, hii imekaajeAngalia pale kuna aina tatu ya format namna ya kujaza kwa ordinary level pc na nyongine ile sijui ni nini! But nazan itakaa sawa watarekebisha mkuu
Naunga mkono.Nlichoelewa ni kuwa wenye 4 ya kuanzia point 34 hawawatambui, wanahesabu kama ni zero, hii imekaaje
Ni Huzuni sema wana wanadai tuendelee kula mtoli nyama tutazikuta chini mkuu.Wameamua kuweka siri ngoja tuwaache tu hakuna namna tunaweza fanya mpka watakapo amua wao
Punguza uchawi mkuu hao mwenye four wamewapiga chini watu wenye 1 na 2 kwenye interviewDah wakuu, inakuaje mtu anabaki na cheti kina dvs 4 ya 30+ huko
Ah guys kuweni serious bhana 😂 sasa hata muajiri c lazima akuteme na naunga mkono akuteme
Tujikaze tupate hata hy 4 ya mwanzoni
Point yangu n mtu asafishe cheti, sasa Ww endelea na slogan hy ya wenye 4 kuwapiga chini watu wenye 1Punguza uchawi mkuu hao mwenye four wamewapiga chini watu wenye a na b kwenye interview
Pia ndio wana GPA kubwa chuo kikuu upper second kutoka mzumbe udsm na SUA na udomPunguza uchawi mkuu hao mwenye four wamewapiga chini watu wenye a na b kwenye interview
Sasa mtu asafishe vipi cheti alimaliza miaka karibu 10 imepita hapo uliongea kwa chuki tu na Wala sio Kwa point anyway endelea kupambana check no zinatafutwa na zinapatikanaPoint yangu n mtu asafishe cheti, sasa Ww endelea na slogan hy ya wenye 4 kuwapiga chini watu wenye 1
Database wangeweka wazi kama upo ule bata kama haupo ufikirie plan BHii naona ya kujua upo Data base bado wameifanya kipengele mkuu😌😌,
Stress zitatumaliza kitaa
Apo ili mambo yasiwe mengi badilish tu iko cheti cha kuzaliwa isome hamisi na sio hamisNaomba kuuliza wakuu ikiwa mtu jina la NIDA na cheti cha form 4 ni Hamisi juma shauri lakini jina la cheti cha kuzaliwa ni Hamis juma Shauri, nataka nikagonge muhuri hivi vyeti nimuombee kazi ya postal clerk halaf nitafute deedpoll na mchakato wa cheti kipya cha kuzaliwa kabla interview.
Swali.
1. Je ntahitajika kuweka deedpoll kwa mfumo wa ajira pia?
2. Na nisipoweka deedpoll asahau kuitwa interview kwasababu majina ni tofauti?
Nawasilisha
Hii sio 4, n 2 nadhani
Naweza kuomba kazi halaf kweny interview ntaenda na Deadpool kipind nafatilia cheti kipya Cha kuzaliwa maana mwisho wa kuomba kazi ni tarehe 22Apo ili mambo yasiwe mengi badilish tu iko cheti cha kuzaliwa isome hamisi na sio hamis
Nje na hapo utumishi watakusumbua san
Mkuu kuwa serious mkuu nauliza nimeulizwa mkuu sijuiHii sio 4, n 2 nadhani