Msela Lowkey
Senior Member
- Jul 3, 2021
- 144
- 199
Naweza kuomba kazi halaf kweny interview ntaenda na Deadpool kipind nafatilia cheti kipya Cha kuzaliwa maana mwisho wa kuomba kazi ni tarehe 22
Amemaliza mwaka gani?
Hy sio 4 wala sio 1, hvy itakuwa hapo kati ya 2 au 3Mkuu kuwa serious mkuu nauliza nimeulizwa mkuu sijui
2014Amemaliza mwaka gani?
Marks kwa kila swali hawakutuambiaVipi interview yenu ilikuwaje mkuu. ? Pia maswali yalikuwa mangap?
Walisema marks za kila swali zitakuwaje?
Hongera sana
Jana tuliwauliza kwanini hawajaweka namna ambayo inaweza kumsaidia mtu kujua kama yupo database au laa !!Kama upo kwenye database wangeweka ingependeza sana
Yah kuna namna hua nawaelewa utumishi kuhusu hiliJana tuliwauliza kwanini hawajaweka namna ambayo inaweza kumsaidia mtu kujua kama yupo database au laa !!
Wakajibu hivi
Kipengele cha kumuonesha kama mtu yupo database kipo ila waliamua kukifunga kwasababu kama wangekiacha kingezua maswali zaidi
Mfano .
Fikiria mpo watatu database nafasi akapatikana wakamchukua mmoja wapo kati ya wale watatu .. wale wawili waliobaki si wataibua maswali kwanini wamechuku yule mmoja na wao wameachwa..
Sasa kuzuia hili ndiyo wakaamua kuzuia mtu kuona database
Yeah ,, walidai hawataki kutupa matumaini hewa ,, wakasema kama watakwambia upo database basi watapelekea uache kwenda kwenye sahili nyingine.Yah kuna namna hua nawaelewa utumishi kuhusu hili
Kwahiyo lengo lao tutumie gharama zaidYeah ,, walidai hawataki kutupa matumaini hewa ,, wakasema kama watakwambia upo database basi watapelekea uache kwenda kwenye sahili nyingine.
Wapo sahihi.Yeah ,, walidai hawataki kutupa matumaini hewa ,, wakasema kama watakwambia upo database basi watapelekea uache kwenda kwenye sahili nyingine.
Tupo tunakazi ya kuchulia web kila baada ya dakika 30 kama mpishi aliebandika maharage [emoji2]Habari ya asubuhi, mwagona[emoji3059] [emoji1787] shuhuda zimekauka aisee
Wangefanya link na RITA na TCU ma vyet ya kuzaliwa na vyuo tukawa tunaweka namb tu yanatokea kule siku ya usail mtu aende na kitambulisho tu watu wanabeba ma vyeti adi yanakuja kupotea na bado n joblessNaona Sasa hvi utumishi hawaitaji Tena kuaattach cheti Cha kidato Cha NNE na SITA system wameunganisha na necta Moja Kwa Moja
Pia Ukiwa unabadili document Moja kuweka nyingine mabadiliko ni instantly yanatokea sio kama zaman
Nawapongeza imekua user friendly kidogo kuliko mwanzo
Pia wakuu naomba mu-update academic qualification zenu msisahau naona linahitajika kwasasa
Hatua hii ni kubwa tuombe wafanye link na Rita na TCU kwel na waboreshe siku ya usaili mtu aende na kitambulisho tu cha NIDA au namba ya NIDA basiWangefanya link na RITA na TCU ma vyet ya kuzaliwa na vyuo tukawa tunaweka namb tu yanatokea kule siku ya usail mtu aende na kitambulisho tu watu wanabeba ma vyeti adi yanakuja kupotea na bado n jobless
Hivi weekend kunakuwa na pdf au hadi j3Habari ya asubuhi, mwagona🥰 🤣 shuhuda zimekauka aisee
Very trueIT angeweka kakipengele ka kujiona kama upo database au ulikula za uso kwenye Oral angekuwa ametisha sana .
Yah idea nzuri sanaHatua hii ni kubwa tuombe wafanye link na Rita na TCU kwel na waboreshe siku ya usaili mtu aende na kitambulisho tu cha NIDA au namba ya NIDA basi
Lisipotoka leo, hapo ni mpaka Jumatatu.Hivi weekend kunakuwa na pdf au hadi j3