Kandambili1
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 1,124
- 2,982
Amen amen hongera sana mkuu....uzidi kufanikiwa.Oral Nilifanya tarehe 10 mwezi wa sita!
Jana niliangalia ilikuwa completed, na Kuna muda pia ilikuwa inagoma Mimi ku log in.
Leo nimeingia nikakutana na barua.
Jina la Bwana Yesu litukuzwe
Amina sana sana MkuuAmen amen hongera sana mkuu....uzidi kufanikiwa.
Karibu kwenye utumishi wa umma. Ukifika kazini waheshimu uliowakuta kazini.Glory to God
Sifa na Utukufu ni kwa Mungu katika Kristo Yesu.
Amenipa ushuhuda
Na Mimi nimeona jina langu Leo.
Mungu azidi kuwakumbuka na ninyi.
Ni kawaida tu sema hawajaaamua , Kwa upande wa Zanzibar, zanajira unaweka namba ya kitambulisho tu cha mzanzibar , vyeti vya kuzaliwa na elimu vyote wamelink mfumo na nacte, necta , tcu , zcra .Hatua hii ni kubwa tuombe wafanye link na Rita na TCU kwel na waboreshe siku ya usaili mtu aende na kitambulisho tu cha NIDA au namba ya NIDA basi
Asante BossKaribu kwenye utumishi wa umma. Ukifika kazini waheshimu uliowakuta kazini.
Muhimu sana. Halafu huku jifanye underdog. Na jitahidi kufunga mdomo wako. Maisha yatakuwa smooth.Asante Boss
Asante kwa ushauri ... Nimeuchukua kwa moyo mweupe
Ujuaji hautakiwi huko ... Asante Mkuu kwa tips hiziMuhimu sana. Halafu huku jifanye underdog. Na jitahidi kufunga mdomo wako. Maisha yatakuwa smooth.
Jamaa yupo sahihi, labla kama hujamuelewa tuuWeka mfumo wa desktop mkuu wacha wenge hakuna kilichoongezeka na kilichopungua mkuu hustler living muda utafika not to give up
Mkuu, em naomba screenshot ya hy sehemu ya barua, nataka kuona muonekano wake barua ikiwepo panaonekana vpOral Nilifanya tarehe 10 mwezi wa sita!
Jana niliangalia ilikuwa completed, na Kuna muda pia ilikuwa inagoma Mimi ku log in.
Leo nimeingia nikakutana na barua.
Jina la Bwana Yesu litukuzwe
Mkuu, em naomba screenshot ya hy sehemu ya barua, nataka kuona muonekano wake barua ikiwepo panaonekana vp
punguza mihemko kijana kitu kama hukijui ni bora ukae kimya, 2013 matokea yake tofauti na ya miaka mingineDah wakuu, inakuaje mtu anabaki na cheti kina dvs 4 ya 30+ huko
Ah guys kuweni serious bhana π sasa hata muajiri c lazima akuteme na naunga mkono akuteme
Tujikaze tupate hata hy 4 ya mwanzoni
Kwa kuongezea screenshot hizi hapa,wengine huwa hawaelewi maneno matupupunguza mihemko kijana kitu kama hukijui ni bora ukae kimya, 2013 matokea yake tofauti na ya miaka mingine
Div 1 ilianzia 7-17
Div 2 18-24
Div 3 25-31
Div 4 32-46
Div 0 47-49
Kwa taarifa yako baada ya kuwasilisha malalamiko wameweka sawa mfumo sasa hv unakubali
tulishamaliza mkuuJamaa yupo sahihi, labla kama hujamuelewa tuu
Umefanikiwa kuiona transcript?Transcript kwangu haisomi huko kwenu mnaweza kuiview kwenye profile zenu??
Ingia academic qualificationsMsaada tutani !!!π₯π₯π₯
kwenye mfumo wa ajira portal university transcript inapatikana sehemu ipi ?
Hapana mkuuUmefanikiwa kuiona transcript?
Ok nimeiona!Ingia academic qualifications
Alafu chagua level yako ya chuo click edit, then utashuka adi walipo andika end year so kwa chin yake kuna wameandka current attachment (2) so apo chin kuna ya kwanza cheti na ya pili n transcript kam unatumia sim swipe kwenda pembeni utaona transcript
Samahani ,, kwani baada ya haya maboresho tunaitaji tena tu upload transcript ??Ok nimeiona!
Chakushangaza nilikua nimei upload awali baada ya mfumo kuboreshwa siioni!
Kumbe tupo wengi,, attachment zinasoma 2Samahani ,, kwani baada ya haya maboresho tunaitaji tena tu upload transcript ??
Au umelitaka tu kujua ipo wapi kwasasa ?