HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kumbe tupo wengi,, attachment zinasoma 2
Ila inayofunguka ni 1 cheti pekee
Kweli mkuu ,, nisiwe muongo

Mimi nimeenda kuangalia lakin nilipotaka kuangalia transcript
Imekuja sehemu haina kitu ..

Nikajua labda kwasababu vitu hivi tulisha upload mwanzoni kabla ya haya maboresho ya sasa basi haina shida hiyo transcript itakuwa humo humo japo kuwa haionekani😁😁 ( sijui kama nimewaza sahihi hapa )

Sasa ndiyo naomba nielekezwe kama sijaiona transcript natakiwa nichukue hatue gani ??

Je ni upload nyingine ??

Niache hivyo hivyo huku nikiendelea ku assume ipo humo humo japo sioni ??
 
Mbona Mimi naona vyote cheti na transcript , itakuwa labda mfumo tu hauko sawa
 
Mkuu me naona tuache tu maana mfumo ndio mpya ,,
 



Hii ni transcript haionekani na current attachments zinasoma 2
Ila chet unaweza kukifungua kama kinavyoonekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…