Mimi nilifanikiwa kufanya oral tatu ndani ya mwezi mmoja na oral ya mwisho nilifanya trh 13 mwezi wa sita alaf nikapata placement mwezi wa saba trh 25. Kwa hyo unachosema kina usahihi sana.Me nikionaga mtu kaenda oral basi nampa asilimi 90 % ya kutoboa,
Sasa hta akibadili cheti ataombaje Kazi wakati jina la alichosomea ni tofauti na jina la cheti?Kwasasa naona Haina haja abadili cheti mengine yatakuja yenyewe
kufa tu mkuu huna faida yeyelote ile na hutakumbukwa kwa lolote we jifiekwaherini majobless wenzangu mie ndo nakoroga sumu apa nataka ninywe nishachoka.imeandikwa danger toxic...
Barua yako ya placement ilisema ni interview ipi imekupa asali ? Je ni hiyo ya tar 13?Mimi nilifanikiwa kufanya oral tatu ndani ya mwezi mmoja na oral ya mwisho nilifanya trh 13 mwezi wa sita alaf nikapata placement mwezi wa saba trh 25. Kwa hyo unachosema kina usahihi sana.
daa ila wakuu mnanipa motisha nikisikia hivyoBarua yako ya placement ilisema ni interview ipi imekupa asali ? Je ni hiyo ya tar 13?
Anabadilisha mwenyew general category mawetoa imebaki sehemu ya kutafuta kozi tu hivo ni rahisi kubadilisha unaweza ona jaribu kuangalia utagundua hiloSasa hta akibadili cheti ataombaje Kazi wakati jina la alichosomea ni tofauti na jina la cheti?
Ndio hyo ya mwisho ndio nilipataBarua yako ya placement ilisema ni interview ipi imekupa asali ? Je ni hiyo ya tar 13?
Kwhy ni swala la muda tuMkuu endelea kusubiri
Ulifanya oral 3 utumishi mwezi mmoja?!Mimi nilifanikiwa kufanya oral tatu ndani ya mwezi mmoja na oral ya mwisho nilifanya trh 13 mwezi wa sita alaf nikapata placement mwezi wa saba trh 25. Kwa hyo unachosema kina usahihi sana.
nimefanya mwezi wa sita kaka yaani nimefukuzia placement mpaka vidole vimeota sugu... π€£ π€£Aisee!!! Hivi mkuu oral ulifanya lini? Maana naona ni muda sasa unasubiri placement
nikajua tayari ushatuachia manyoya mie na kandambili kumbe we are together..π€£π€£π€£π€£π€£ndio niende kmya kimya ivoo ata shangwee nisiwe nalo kwelii,aaaai badooo nasugua benchi Engineer
Shukuru alikuwa fala sana.ππ kuna waziri mmoja alikuwa anaitwa shukuru kuwambwa akaja akaharibu elimu akaweka anavyojisikia yeye,alikua na kauli mbiu yake inaitwa BIG RESULTS NOWππ
Sijui alikuwa ana mchepuko wa sekondari kilaza akataka amuokoe asikose chetiπ
Yeye ndo alimaliza na kikwete awamu ya mwisho alipoingia magu alichukia sana kuina elimu inachezewa ikabidi ampe ubunge wa kuteuliwa ndalichako kisha ampe uwaziri ili asawazishe kwa kuwa ndalichacho ni mdau wa elimu amelitumikia baraza la mitihani kama katibu mtendaji na kufundisha vyuoni miaka mingi
Akaja aka rrjesha mifumo ya zamani
πππnimefanya mwezi wa sita kaka yaani nimefukuzia placement mpaka vidole vimeota sugu... π€£ π€£
NdioUlifanya oral 3 utumishi mwezi mmoja?!
rahsully hawa jamaa watakuja kututoa damu...πππ
nikajua ushatumia tayali toxic dangersrahsully hawa jamaa watakuja kututoa damu...
ilikua feki ndugu yangu watu wanachakachua mpaka sumu..nikajua ushatumia tayali toxic dangers
Mkuu jipe moyo utashinda tu, mwezi wa 6 bado sana kwa kukata tamaa. Kuna watu humu niliona shuhuda zao walipata placement baada ya miezi kuanzia 4 toka wafanye oralnimefanya mwezi wa sita kaka yaani nimefukuzia placement mpaka vidole vimeota sugu... π€£ π€£